Wakenya wamiminika Tanzania kumuaga Magufuli, walia kwa uchungu sana, wamfananisha na mfalme Solomon

Chezea wajaluo wewe
Nipe tofauti kati ya huyu
speech.jpg
 
Nabii siku zote hakubaliki nyumbani...kwa Mfano tu lakini Yesu anaabudiwa karibu duniani kote ila Jews hawakumuanini na hawamuamini...
Waswahili wanamsemo alieshiba hajui mwenye njaa anataka nn...ss tulishashiba na Magufuli ila inchi jirani zilikua na njaa nae na ndio maana sifa zake kwa mataifa ya inje ni kubwa sana.
All in all tutamkumbuka sana.
 
Back
Top Bottom