Air Tanzania yatwaa tuzo ya ubora kwa mwaka 2022

Kuna kiongozi mmoja alikuwa mchawi wa Bwawa letu la JKNHP akilipinga na kutengeneza njama akiungana na mabeberu ili JPM ashindwe,, 😂😂😂

Amejikuta akipewa mwana ili amlee!

Dunia bhana ni shida saana! Leo hii jamaa analipambania ili limalizike 🤣🤣🤣

Hao waliopinga ununuzi wa ndege, siku moja watapongeza wenyeweee!!!
 
Shirika la ndege la Tanzania limetwaa tuzo ya ubora na maendeleo ya mwaka 2022 barani Afrika na tuzo hiyo imekabidhiwa kwa CEO Ladislaus Matindi kwa niaba ya shirika.

My take.
Chadema walipinga ufufuaji wa shirika hili ,leo limetoa CEO bora barani Afrika!
R.I.P Magufuli

Umeharakisha My take haraka, kumbe ujinga, study well hiyo tuzo utaelewa....

CAG wa CCM ndo alisema shirika linaendeshwa kwa hasara, sio Lisu..

Sasa sijui point yako ni ipi ndugu!
 
Shirika la ndege la Tanzania limetwaa tuzo ya ubora na maendeleo ya mwaka 2022 barani Afrika na tuzo hiyo imekabidhiwa kwa CEO Ladislaus Matindi kwa niaba ya shirika.

My take.
Chadema walipinga ufufuaji wa shirika hili ,leo limetoa CEO bora barani Afrika!
R.I.P Magufuli
Chadema ni mipumbavu
 
Back
Top Bottom