Wakenya walia na kupanda kwa gharama za maisha

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644

Screenshot_20210314-163547~2.jpeg
 
That's why the Luo people pronounce it "MBBI" rather than "BBI" Wakenya mnavituko Sana.
 
Hehehe!! Hizi nyuzi za ramli chonganshi, yaani mtajaza server za watu..

Watanzania wameanza kushangaa wiki tatu hawajatumbuliwa...hehehe
Sema kwa Wakenya tuna cha kujifunza kutoka kwa Watz likija suala la utulivu, najaribu kuwaza ingekua kwetu hapa, yaani vyombo vya habari wangekua wametia kambi ikulu kabisa na mahema yao huko..... na wengine wangekua wananyatia nyatia kwenye kila hospitali

na muendelee kujifunza mengine pia.

watz sio watu na nongwa kwa kila jambo,hawafiki bei kizembe wala kushawishika kipuuzi.
ndio asili ya rais wetu.ndio maana hatetereki kwenye maamuzi yake.
 
Kumfundisha Mkenya akubali kujishusha mpaka awe kama zezeta fulani hivi ni mtihani, yaani tu basi.
 
kuna tofauti ya kuwa zezeta na kuwa mtulivu.

Zezeta huwa lipo lipo tu, halijui upepo unavuma wapi ukielekea wapi, halijui haki zake na hushukuru na kusifia kila kitu hata wakati linabakwa.....hehehe
 
kama anavyowafanya uhuru wakenya.

wamekuwa kama vichaa.
 
kama anavyowafanya uhuru wakenya.

wamekuwa kama vichaa.

Mwambie huyo Uhuru atoweke hata siku tatu hajulikani alipo ndio atakoma ubishi, kwetu huku tunatambua urais ni taasisi sio mali ya mtu binafsi. Yakimshinda anaachia fasta tu wapo wengine wenye uwezo huo, sio ang'ang'anie hadi hata ikisemwa amelazwa bado anashikilia haachi.
 
mmeshindwa kumtoa kwa njia halali mje mjitie ujuaji asipoonekana!!!

waacheni wenye nchi yao hapo kenya watawale,wengine endeleeni na kelele.
 
Wakenya si waoga kama nyinyi, we say as it is, saii tuko twitter tunatukana serikali ya jubilee
 
Sa mkitukana mnapata nini? Aafu matusi ya kiingereza wala hayaumi. Mbaya zaidi hata Kiswahili hamjui. Shida ya Wakenya ni ujuaji.
 
mmeshindwa kumtoa kwa njia halali mje mjitie ujuaji asipoonekana!!!

waacheni wenye nchi yao hapo kenya watawale,wengine endeleeni na kelele.

Kumtoa kwani muda wake umeisha? NImekuambia kwetu hawezi thubutu ujuha wowote maana sisi sio mazezeta, huwa tunahoji bila uwoga.
 
Back
Top Bottom