Katibu Mkuu wa COTU awashikia Wakenya kwa kulalamikia gharama za maisha, asema Ruto aliahidi tangu mwanzo kuwa kila Mkenya atajenga Serikali

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
OIP.jpg

Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyikazi (COTU), Francis Atwoli amewashukia Wakenya wanaolalamika kuhusu Kupanda kwa gharama za Maisha na Kodi, akisema Ruto alikuwa wazi kuwa anataka kujenga Kenya kwa msaada wa Wakenya wote

Atwoli amesema, "Ruto alikuwa wazi sana wakati wa kampeni zake, alikuambia wewe Mama Mboga kwamba Serikali itajengwa na wewe. Sasa ukiambiwa leta mbao tujenge hii Serikali unasema heri tungepigia [Kura] Raila"

Itakumbukwa Rais Ruto alipoenda Tume ya Uchaguzi kueleza azma yake ya kugombea Urais, alichagua kusindikizwa na wauza Mboga maarufu kama "Mama Mboga" na mwendeshaji Bodaboda, akijaribu kuonesha kuwa Urais wake utakuwa ni wa kuwainua wenye maisha ya chini
=====

Central Organisation of Trade Unions (COTU) Secretary General Francis Atwoli has defended President William Ruto over the high cost of living in the country.

Addressing senior editors on Saturday, December 2, Atwoli reminded Kenyans of what Ruto promised during campaigns.

Atwoli said it was wrong for Kenyans to complain about high taxes, yet Ruto made it clear that he would build the country with the help of Kenyans.

"People are crying about the cost of living. Some are complaining that we voted for William Ruto. But President William Ruto made it clear during the campaigns that Kenya would be built by Kenyans," Atwoli said.

According to Atwoli, Kenyans must accept and give Ruto time to implement his manifesto for the next five years. The long-serving COTU boss said Kenyans must understand that the Kenya Kwanza Alliance administration is in place until 2027 and even up to 2032.

"We must accept for him to implement his government. There are some situations that you cannot change. It is either five years or ten years. Constitutionally, you cannot change," he added.
 
Huyu mzee ana ela alaana ana mwanae wa kike anakula maisha kufuru. Mzee ana sura ya kazi ila mwanae kisu hatari na akiwa ana party utasikia hii imesababishwa na baba yangu...
Mzee anakula hapo lazima atetee ulaji wake
 
Back
Top Bottom