Wakenya wakataliwa nchini mwao, SOMO kwa Watanzania

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wadau nimekua nikifuatilia hili suala la IDPs (wakimbizi wa ndani ya nchi) nchini Kenya waliokimbia makazi yao mara baada ya machafuko ya uchaguzi wa 2007.
Sasa kasheshe ni kwamba hawa jamaa wamebakia bila muelekeo kila mahali serikali
ikiwapangia waende kuishi huko, wanakataliwa kwamba sio watu wa pale. Hii kitu
naona ni kama inatoa kabisa hali ya utaifa. Mwananchi nafikiri inabidi awe huru kukakaa au kuishi sehem yeyote nchini mwake. Kwa Tanzania nafikiri tupo vizuri kulinganisha na hawa wenzetu. Ila inabidi tujifunze kwani ni kama tunaelekea huko.



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom