wewe tu ndio umepata mshangao mwenzio ninayangu nimeshapewa na mtia nia wetu kazi kwako unaeshangaa za taifa
View attachment 260061View attachment 260061
Wakenya wanatatizo la kujionesha.
kama mwezi tu uliopita nimemtengenezea mtu computer, si kitu cha ajabu kaka na watu wanatengeneza sana tu. tena siku hizi kwa laptop wamezidi kufanya mambo rahisi kuna barebone zimetengenezwa kila kitu unachomeka tu cpu, ram na hdd.
hii ni barebone imetengenezwa na msi kwa ajili ya gamers, inaingia processor yoyote ya haswell mobile, unaweza ipeleka kampuni yoyote ya laser printing ukaeka logo yako wala mtu asijue imetengenezwa na nani
Usichanganye kufanya assembly na kutengeneza from designing level,
hapo kinachofanyika nikukusanya kusanya tu raw devices material, kama ambacho nahisi wamefanya hao wakenya.
Kaka ingekuwa hivyo ndivyo ilivyo basi devices nyingi zingekuwa zimetengenezwa china,
Apple wenyewe tu hawawezi kufanya assembly ya devices zao Marekani, wanafanyia China kwasabu ya labor forces, mpaka Obama alimuuliza Steve jobs why ipo hivyo.
Mwaka 2012 ndo baadhi ya Mac zilikuwa assembled in US
Nokia nao wanafanyia baadhi ya device zao China n.k
lakini utaona zimeandikwa Assembly in China/Thailand or whatever ila Sio Made in China/Thailand.
laptop/desktop utengenezaji wake si kama wa simu.
mwezi uliopita na mimi nimejenga computer yangu mwenyewe vifaa nikitolea hapa hapa tanzania na baadhi ya thread zipo humu wakati nikiulizia vifaa. kila kitu cha desktop/laptop kinauzwa kivyake unanunua unapoona mwenyewe bei rahisi na kujenga computer yako. hivi ni baadhi ya vifaa vinavyotumika kujenga computer.
cpu- intel au amd
hdd/ssd- samsung, toshiba, san disk, intel, crucial nk wapo wengi sana
ram- crucial, kingstone, nk wanafanana na hao hapo juu wengi
motherboard- gigabyte, msi, corsair, asus nk
psu (powersuply)- silverstone nk
case- silverstone, corsair, shuttle nk
kuna vitu kama gpu, mlango wa cd, feni ambalo sio stock na vyengine.
wakati simu unatoa order toka makampuni yanayotoa hivyo vifaa na inahitaji wataalamu kudesign na kuvifunga pamoja ili vifanye kazi, Computer inakuwa assembled gheto tu, hakuna haja ya mtaalamu almost kila mtu anaweza tengeneza computer akipata vifaa hivyo hapo juu.
computer zipo mature sana usikariri utengenezaji wa simu na mambo ya assembly ukafkiri na computer navyo ni hivyo hivyo, nenda kvd utapata motherboard, nenda mosque street utapata processor, nenda aggrey gpu zipo, ram zimejaa kibao, hdd za kumwaga, case tumia la computer yako ya zamani
Unachekesha sana yaani unambie jinsi wanavyofanya assembly ya simu na computer ni tofauti !
Labda kwasabu unaona availability ya vitu vinavyounda computer ni kubwa kuliko simu.
Wewe unaepata display tayari imeungwa kilakitu unafanya kazi yakupachika tu unataka ujiite unatengeneza computer.
wenzako hawa
wanacheza na display from head to toe, afu bado tunaita wanafanya assembly, ila wewe uliyeenda kariakoo kuchukua full display nakupachika kwenye pc tukuite unatengeneza.
I bet to stay away from this.
even apple hatengenezi kitu kuanzia display hadi processor kuja ram hadi hdd ananunua na kueka pamoja.
Seems you're tired bro, take a rest and have a goodnight.
kipi anachotengeneza? hebu kitaje kwenye pc
Ulitakiwa uulize hilo swali toka mwanzo sio kubisha kitu usichokijua.Tatizo lako wewe nikuchanganya haya mambo na hisia binafsi, ukiniambia apple hatengenezi baadhi ya vitu sawa ntakuelewa mana vinajulikana, ila unambie hatengenezi kitu kabisa, hapo itabidi unipe ushahidi kwanza, tofauti na hisia binafsi.
Ulitakiwa uulize hilo swali toka mwanzo sio kubisha kitu usichokijua.
Kuna kampuni inaitwa ifixit kazi yao ni kufungua vifaa kila vikitoka na kutoka kwao wanatuambia each and everything kimetoka wapi.
Angalia ufunguzi wa imac hii mpya ya 4k halafu niambie apple wametengeneza nini
https://www.ifixit.com/Teardown/iMa... Teardown/30260?_e_pi_=7,PAGE_ID10,3478671823
Snipa sasa unaleta ubishi wa "ngoja nitafute pa kutokea"umemuelewa vizuri Chief Mkwawa isipokuwa wewe unatafuta ushindi si kufahamu kwa style hiyo utafeli maana mkwawa achelewi kukurushia maushahidi concrete ohoo!Tatizo lako wewe nikuchanganya haya mambo na hisia binafsi, ukiniambia apple hatengenezi baadhi ya vitu sawa ntakuelewa mana vinajulikana, ila unambie hatengenezi kitu kabisa, hapo itabidi unipe ushahidi kwanza, tofauti na hisia binafsi.
Hata mimi imeniacha nina maswali kibao hapahilo neno taifa linaonekana kama vaio, bila kuona component za ndani hatuwezi jua kama wametengeneza wao au wamebrand jina tu kama kina tecno na itel
Si mfanye yenu????????
Tanzania maneno mengi sana vitendo hakunaaaaa
Magufuli ameharibu daslam ameweka vichochoro kama ile morogoro road ndo nini sasa hivyooo
wanasema assembly assembly while tanzania hatujafanya ata assembly ya charger..hongera kenya
Nice step ahead, sio Tz, hakuna research and development funds, innovation and scientific projects. Kila kitu from China and Dubai or India. Hata products za Keko furniture zinaozea pale for just 10%.Poor Tanzania!