baba Moses
Senior Member
- Dec 7, 2017
- 100
- 80
Hawa majirani zetu kenya huwa wana present kipindi chao kwa wingi na pamoja kina itwa chuchilshow.Kipindi hiki huwa kinaongozwa na jamaa anajiita prof Hamo.
Ukitazama kipindi hiki kinaonesha wakenya ni jinsi gani wana kaa pamoja na kufurahi na kutoa stress kwa pamoja.
Huwa wanakuwepo na wageni wao kutoka mataifa mbalimbali na wenyewe wakishiriki kwapamoja wakipeana somo.
Sasa tuje hapa kwetu bongo hivi kuna program gani ambayo inaongozwa hapa kwa pamoja na kukaa tukamsikiliza mtu moja moja zaidi ya kuwa na mijadala mingi isio kuwa na faida kwetu na shida tuu.
Kenya walishawahi kumwaga damu mwaka 2003 juzi tuu hapo lakini bado wana bloodspirtial love for each other wana thubutu kukaa pamoja na kupiga story.
Sasa hapa bongo kuna kipindigani kisischo bagua ambacho mtu anaweza kujifunza mfano chuchilshow bila udini wala ukabila.
TATIZO LETU UJUAWAJI MWINGI USIO NA FAIDA.SISI TUKO BIZE NA SIASA MPAKA MTU ASIE NA SHULE HATA MOJA NAE ANAIJUA SIASA KULIKO HATA MSOMI,BLAABLAA KILA SEHEM VIJIWE VINGI KILA KONA.
WENZETU KENYA NDIO WALEE BYEBYE.
NAWASILISHA