Fanya utafiti wa kutosha kabla hujaamdika kitunchochote chenye reference. Bandiko lako linaku expose kuwa hukifahamu vozuri hicho kipindi na pengine umeona leo kwa mara ya kwanza.
Hiyo ni show ya stand up comedy inayofanywa chini ya uongozi wa churchil ambae nae ni comedian. Kipindi hicho kinaendeshwa kwa kuhusisha commedians mbali mbali ambao hulipwa na churchil. Show hufanywa kwa kiingilio kama zinavyofanyika show za stand up comedy hapa bongo na kina mc pili pili nk. Sasa hapa tusiongelee wamefanikiwa au kutofanikiwa kiasi gani kwa kuwa siyo hoja ya msingi. Kikubwa unachotakiwa kukijua ni kuwa hata hapa bongo hizo show zinafanyika. Na kumbuka kuwa watu wanaweza kukutana na kufurahi kwa pamoja kwa namna mbali mbali, si kupitia stand up comedy peke yake. Kuna matukio kama harusi, bar, disco, matamasha ya muziki etc....
N8meliangalia bandiko lake, msingi wake kwa kiasi kikubwa ni inferiority complex tuliyonayo wabongo wengi dhidi ya wakenya, na tabia ya kuwatukuza wakenya kuliko wanavyostahili.