hata marekani wanatamani magufuri angekuwa rais wao
watanzania tuacheni propaganda tufanyeni kazi natuikumbushe serikali kenya wako far better than us
leo hii tunaona maguli ni better kuliko kibaki wakati bado kero ni nyingi
mfano elmu bado tuko nyuma na vitu vingi