Wakenya na hisa za crdb

Tusiwalaumu wakenya kwa comments zao. Ukweli ni kwamba CRDB inahitaji ifanye kazi ya ziada kuboresha mfumo wake.

January 2009 nilikuwa Tanzania nikiwa na jamaa yangu ambaye alikuwa anafuatilia benki statement yake ili awasilishe ubalozini kwa ajili ya viza ya kwenda UK, tawi lake ni Kijitonyama - Mileniam Tower aliisotea benki statement yake kwa wiki tatu.

Ilimlazimu aende Azikiwe head office alikuwa na jamaa yake ndiyo akaipata saa moja kabla ya appointment yake ya ubalozini VINGINEVYO RATIBA YA SAFARI YAKE INGEVURUGIKA.

MAMBO YA KWELI TUYAKUBALI KAMA CHANGAMOTO. Mtu akijikojolea kisha jirani yake akimwambia mwenzangu badilisha nguo umejikojolea haipaswi kwa aliyejikojolea kuanza kusema sijajikojolea wakati mikojo na harufu ya mikojo inaonekana vinginevyo waliokuzunguka watakushangaa na kujiuliza .............?

Basi labda inategemea na tawi lako. Mimi nina akaunti yangu pale Holland House sijawahi pata shida ya bank statement. Unaweka oda leo kesho inaichukua. Vilevile kwa upande teknolojia wanajitahidi ukilinganisha na NMB etc ingawa bado inahitaji kuimprove zaidi. Kwa upande wa makato kwa kweli ni wenyewe mpaka wakati mwingine unaweza kuchukia.
 
kimei ni genious ....amefanya kazi kubwa crdb .....lakini sasa amefikia kikomo cha akili..kwa nia njema angetafutiwa role kubwa zaidi ...ie hata shirika kama la reli ..tusingeuza tungepata wazawa kama kimei wa rescue....

Tazama kimei amelitoa crdb ..kutoka benki iliyokuwa motuary hadi kuwa benki ya pili kwa ukubwa tanzania..baada ya nmb ambayo ipo heavyily funded na serikali.....

Its time sasa kimei apewe golden hand shake ....apelekwa kwenye kampuni nyingine aiokoe...unajuwa watu wenye akili ..kufanya kitu kimoja muda mrefu wanakuwa bored ....na huanza they tend to stop concentrating ....on doing same thing everyday...that is a principle of managerial behavior....job changes helps to releave that tendency!!!

Watanzania we dont like to expose abled personalities to challanges they deserve and get full results out of them...

Crdb needs a new young ceo,,,now!!!!!! Kwa watu wa age ya kimei akiletwa pale hatafikia hata robo ya perfomance ya kimei....we need a new ceo under 36 years of age ... And must be a finace genious .....pale bot ,crdb na nmb ....kuna vijana wengi tu wazuri wanaweza kuendeleza alipoishia kimei...

Tuwapore trl wahindi tumpe kimei....na bandari tumpe .dau....muone hawa wazee vijana wanavyofanya kazi!!!!

Ndugu yangu usisahau pia kuwa CRDB inaongozwa na wa-Danish Kimei akiwa MD. Kuna mwaka walitaka kuondoka Kimei akataka kulia na kuwaomba wasiondoke. Likewise NMB inaongozwa na Waholanzi. Kwahiyo unapoona maendeleo hayo ya CRDB fahamu kuwa kuna nguvu kubwa ya Wa-Danish nyuma yake.
 
Back
Top Bottom