Wakenya na harusi za mchana

Usiku waweza pewa mwanamuke ingine akafichwa uso yake. Hukumbuki jinsi Yakobo alivyopewana/ Lea akiambiwa/ ati /ni /Recho?/ Kumbe/ ni yule/ Lea/ mwenye/ makengesa? ? Mambo za/ usiku/ zina/ atari/ zake
 
Wenzetu ndoa hawacomplicate Sana kuanzia kuchangishana hadi sherehe za watu kula kunywa na kusaza....pia harusi zao za garden ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom