waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

Would you mind explaining what you are talking about?

lady ndio maana hujaelewa,simple alichoongea kinatatanisha.agrey manri si artist ni regianl commisioner wa tabora huku tz,ila ana trend youtube kuliko msanii wenu mnayemuamini.

Halafu mlisemaga mna internet users wengi kutuzidi,sasa sijajua mpaka sasa nini kinasababisha tuna wazidi vitu simple kama hivi,usijesema agrey anaangaliwa zaidi kenya na humjui
 
Si angeweka na ushahidi basi badala ya kubwabwaja. Kwani nyimbo zake zina views ngapi?
 
Umbea mkuu ynafanya mtu ashindilie kitu kimoja ama topic moja. Anajua umeclick hiyo video zaidi ya Mara mia moja hawa sasa kuna uzi huu just to drive a point home.
 

Wamelalamikia hao wote ila walioumia zaidi ni Wabongo. Wanaijeria hata wametusupport wakasema nchi lazima ikuze mziki wao. Wenye machungu tu ni wabongo - sijui ni kwa vile top musicians wa Bongo wamejengeka Kenya ama ni ile inferiority complex yao ya kawaida. Lakini nadhani pia hilo la soko muhimu linachangia maanake wasanii Wabongo hutengeneza hela nyingi Kenya kuliko bongo. Bila Kenya bongo hakuna msanii atajengeka.
 
Sawa kama nyinyi wasanii wenu ni wavivu kwanini wabongo wasije kutajirikia kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…