Wakenya mnatuaibisha bana!!

Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,196
2,151
Ndugu majirani mnafeli wapi?? Mnaandika vitu gani hivi sasa, isitoshe mnatutaja na sisi wote tunaonekana wapumbavu, choka mbaya bin mlala hoi. Dah! kwa hiyo mumeamua kuwa omba omba tena kwa lazima.
IMG_20190611_174915_579.jpeg
IMG_20190611_175003_612.jpeg
IMG_20190611_175039_586.jpeg
 
Ndugu majirani mnafeli wapi?? Mnaandika vitu gani hivi sasa, isitoshe mnatutaja na sisi wote tunaonekana wapumbavu, choka mbaya bin mlala hoi. Dah! kwa hiyo mumeamua kuwa omba omba tena kwa lazima.View attachment 1124673View attachment 1124676View attachment 1124678

Okoye ni jina la Nigeria.
Hio ni tabia ya Wanigeria.

Paul Okoye kwanza ni mwanamziki Nigeria. (P Square).

Sasa, wewe na upumbavu wako, utasema kwamba P Sqaure wanatapeli?
Tangu lini tapeli akapeana details zake za ukweli? Jina lake la ukwelil. Ama hata nchi yake ya ukweli?
 
Hizo ni DM za Paul Okoye wa P square kuna mkenya kamwandikia hivo.
 
Okoye ni jina la Nigeria.
Hio ni tabia ya Wanigeria.

Paul Okoye kwanza ni mwanamziki Nigeria. (P Square).

Sasa, wewe na upumbavu wako, utasema kwamba P Sqaure wanatapeli?
Tangu lini tapeli akapeana details zake za ukweli? Jina lake la ukwelil. Ama hata nchi yake ya ukweli?
We jamaa una kichwa kigumu kinoma
 
wanatia aibu huko USA wanaenda kututia tu aibu waafrica wenzao hamna cha maana wanachofanya zaidi ya ukahaba
 
This is nonsense mleta mada . Omba omba wa Tanzania ni wengi sana pia so take the big log off your eye 1st.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom