Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,926
- 18,951
Umeshawahi kujiuliza kwa nini Kijana wa Kitanzania tangu umemaliza Chuo haupati Kazi? Sababu ni kwamba Wakenya, Waganda, Wahindi & Co. wamechukua nafasi yako!
Huhitaji kuwa na Mwanahisabati kujua kwamba kama huyu Mkenya akiondoka na kurudi kwao nafasi ya kazi aliyonayo utapewa wewe au Mtoto wako au Ndugu yako au Jamaa yako, na hili itapunguza Umaskini kwako kwa kiasi Fulani!
Sasa wakati umefika na kuanza kuwakataa Wageni kwa nguvu zote, Imetosha sasa, kama Serikali haiwarudishi, tuuwarudishe wenyewe!
Tunasema Achia Nchi Yetu... Toka kwenye Nchi Yetu...Wageni Ondoka Kwetu... Rose Mhando