pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,352 Apr 21, 2018 Thread starter #61 Bishop Hiluka said: Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!... Click to expand... Mmh!
Bishop Hiluka said: Safi sana Wakenya, sisi bado tunabishana kuhusu kama serikali imeiba trilioni 1.5 au lah!... Click to expand... Mmh!
engelbertnobert Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 131 Reaction score 42 Apr 21, 2018 #62 mkali kwanza said: Mambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa 1. Uchawi 2. Wivu na chuki 3. Fitna na majungu kazini 4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine 5.Ukuwadi na umalaya Click to expand... Hata hivyo HATUWEZI
mkali kwanza said: Mambo tunayoweza kuyafanya bila hata kuambiwa 1. Uchawi 2. Wivu na chuki 3. Fitna na majungu kazini 4. Umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine 5.Ukuwadi na umalaya Click to expand... Hata hivyo HATUWEZI
Kajirutaluka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 1,223 Reaction score 998 Apr 23, 2018 #63 pingli-nywee said: Lazima zipo, kwenye hizi mbio za masafa marefu sanasana wanaokimbia wanatoka kwenye jamii za wafugaji, kama wairaki na wamaasai. Click to expand... Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta?
pingli-nywee said: Lazima zipo, kwenye hizi mbio za masafa marefu sanasana wanaokimbia wanatoka kwenye jamii za wafugaji, kama wairaki na wamaasai. Click to expand... Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta?
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,352 Apr 23, 2018 Thread starter #64 Kajirutaluka said: Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta? Click to expand... Labda hamna mazingara mema ya kujihusisha kwenye riadha. Support ya mashirika husika ni muhimu pia.
Kajirutaluka said: Mbona hawa wetu wameshindwa kabisa kufurukuta? Click to expand... Labda hamna mazingara mema ya kujihusisha kwenye riadha. Support ya mashirika husika ni muhimu pia.
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,352 Apr 23, 2018 Thread starter #65 London Marathon. Niliiona hii sehemu fulani hivi Baadaye kidogo..... Subutu kusema ng'we, turudie tena!
London Marathon. Niliiona hii sehemu fulani hivi Baadaye kidogo..... Subutu kusema ng'we, turudie tena!