Wakenya Bana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya Bana!

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by rosemarie, Apr 28, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wakuu niombe radhi kwa kuleta hii mada muda huu ambao tupo kwenye dimbwi la mawazo juu ya mustakabadhi wa taifa letu!
  nimeamua kuleta hii kwa sababu leo ni weekend ebu tukae tuongee kuhusu maisha yetu ya kawaida huku tukijipumzisha kwa mawazo yanayotupa tabu kweli kweli?

  nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vinne, sina familiya naishi peke yangu, nikaamua kupata mtu wa kushare naye, mimi nikachukua sitting room na master bedroom, akaja mtu mmoja ninayemjua akaniletea dada wa kikenya, kwanza nilishtuka halafu moyoni nikasema hii hapana siwezi kuishi na mkenya hata kidogo, baada ya yule dada kuleta story nyingi sana jinsi alivyo smart na msomi na amekaa sana ulaya na sehemu mbalimbali hapa tanzania nikajikuta namkubalia kuishi na mimi

  sasa huu ni mwezi wa pili tangu tumeanza kuishi,kwa kweli dada anakera mno,yaani wakuu dada zetu watanzania ni watu wazzuri sana ndio sasa naanza kujionea,kuna kitu ametuonyesha live""eti mbona watanzania hawajui mambo mengi" "utasemaje maneno kama hayo mbele ya wenye nchi yao!!kwa ujumla kwa jinsi tunavyoishi ni kama yule dada ni fake sana, yaani shes not original, mambo yake anayofanya ni kuiga na kujiweka sana tofauti na sisi tunaoishi naye,yaani nimechoka ndani ya miezi miwili tuuu!!

  Eee mungu nisaidie usijaribu kufanya makosa kama haya kama unataka kuishi vizuri,kwa sasa hivi namtafutia kona ya kumbana mpaka aondoke zake
   
 2. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Huyo dawa yake kula kisolokupwinyo chake umkate ngebe!
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  NINGEKUWA MIMI ningempiga chini siku hiyohiyo, alale mbele, hata kisolokumbingo angenipa ningekataaa....cha nini cha mkenya icho? si ndo maana wanawatania kuwa wanuka socks...
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  Mkuu kwa jinsi alivyokomaa miguu hata haisimami
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  ilishawahi kunitokea siku moja UK, nilikuwa nasoma na mkenya, tukiwa njiani kutembelea mji, akaona gari ya BMW, akageuka akaniuliza, KUNA WATU WANAMILIKI BMW Tz?....dah, nilichoka kabisa namna ya kumjibu kwasababu kwanza, yeye hajawahi kufika tz, mimi nimekaa kenya kwa muda, naijua nchi yake sana, yeye hajui tz ikoje zaidi ya kuangalia kwenye magazeti na tv...wanavyoamini huko kenya ni kwamba, watz ni mambumbumbu, wavivu na masikini kuliko wakenya....toka siku hiyo nilimwanzishia bifu, hadi tulimaliza chuo hakuniaga hata alipoondoka...kila akiingia kwenye anga zangu nampinga, hadi kwenye discussion darasani nikiona yeye amechangia ilikuwa lazima nimrekebishe mbele za watu ili aone yeye ni mjinga....alikoma ubishi.
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mie niliwahi kukaa na Dada mmoja wa Kikenya kabla sijawowa, alikuwa ni mwalimu kwenye shule za Mchungaji Mama Lwekatare............Sasa kumbe ndugu zangu wakija kwangu likizo na kukaa kwangu huwa anakereka sana. Siku moja akaja dada yangu na watoto wake wawili wadogo na kukaa mwaka mzima akisoma kozi yake fulani hivi, kile kitu kilimkera sana yule dada, ikabidi siku moja aseme...........

  " Nyie WaTZ mko na extended famili nyingi sana, mimi tangu kukaa hapa hakuna ndugu yangu amekunja na kukaa na mimi hata kwa siku monja, lakini wewe kila siku ndugu ndugu ndugu....... Nyumba iko na Traffic full time. Halafu watoto wako na kelele wakati wote, mimi huwa napenda ukimya, na sipendi hiyo kelele ya ndugu sako..............."

  Kodi yake ilipoisha nikamwambia aondoke kwa sababu ninataka kuoa na nafasi itakuwa finyu kwa sababu mke atakuja na ndugu zake...........Sasa akataka kunizunguka akaenda kwa mwenye nyumba na kutaka apewe mkataba wake mwenyewe.............Mwenye nyumba akamwambia mimi ndiye anayenifahamu na hajui kama kuna mpangaji mwingine hivyo akamtaka arudi kwangu tuelewane..........Nilimtoa baruti hata hakuamini.............
   
 7. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli wakenya wanaboa,kwa kifupi ni washamba wachangamfu. Lakini hapo hapo mwenzétu ww uliona njia ya kujiongezea kipato(kujiajiri?) ni kumpangisha mtu sehemu ya nyumba ambayo nawe umepanga? Siku nyingine tafta nyûmba kulingana na mahitaji yako si ili watu wakuone umepanga nyumba nzima la sivyo siku nyingine utajìkuta unakaribisha zimwi uishi nalo!
   
 8. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  kwanza wachafu wanatumia tishu hata wakinya wakikojoa wanamadharau washamba wanajiskia na nimasikini kupita kiasi kwao kila mtu kapanga nyumba wanaita nyumba za kukomboa wapuuzi to the maxm mi nimewala wademu wa kikenya kipindi naishi nairobi so kwa kuwaonesha si mali kitu nilikuwa nawala mpaka 0713 kwa makusudi.
   
 9. H

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,047
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  hahaha. hii balaa. mtaa wa tomboya pale usiku unakutananao hata barabarani, wanauza 0713....hahaha
   
 10. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  kwe kwe kwe... hute kumbe nawe mnzinzi..
   
 11. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Ana vigimbi kama mke wa kibaki? Tehe!
   
 12. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimecheka sana kuwala 0713. Wee bwana hatari kwa kujeleza. Pale Nyamakima Mjaluo mmoja alinambis Wagikuyu ndo napendaga sana kutoanga hiyo.
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa huyo dada anakera sababu ni mkenya au sababu ya tabia zake tu?
  why ku-generalize mambo? Huyo dada sio representative wa wakenya wote
  Angekua mchaga ungesema wachaga wana mambo ya kujionesha onesha
  Kama umechoka na mambo yake we mwambie tu aondoke, tafuta mngine
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  loh mna vituko humu......alamsiki jamani
   
 15. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  royals uliomba 0713 na wewe kweli jamvini kuna mambo jamani .
   
 16. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha! Duh mna mambo wakuu! Ebu tuambie hiyo 0713 iko pande ipi tena!
   
 17. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  mitaa ya nairobi moi avenue na stanley hotel au westlands. nairobi west..
   
 18. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  mi nilikuwa nawambia sitaki kitobo uterezi nataka 0713 tu.wanasema wanipa ngili ngapi ngili ndio elfu moja yao kwetu 20000.
   
 19. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mwali, unawajua wakenya the way walivyo? Honestly ukiamua kugeneralise ni sawa tu almost wote wanaubinafsi sana na kujiweka kama superior flani, yawezekana ndivyo walivyo katika jamii yao, ndio maana leo watanzania wanapata sifa ya ukarimu sababu asilimia kubwa ya watanzania wapo hivyo. So am not suprised at all when someone speaks of kenyans in such a way! Sorry fellas!
   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sio kweli bwana, mbona mi nimehishi nao wengi sana
  Kweli nimekutana na ambao wako hivo (hata TZ tunao)
  Ila nimekutana pia na wengi walio wakarimu na waelewa
  They don't act superior wala nini. don't generalize please
   
Loading...