Wakenya acheni Uongo, Hii siyo Demokrasia!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hiyo picha wala siyo Somalia au Kongo na wala siyo mwaka 2007 bali ni Juni 14,2016 Nairobi Kenya, halafu kuna watu wanatuambia kwamba Wakenya wako mbele kidemokrasia na hili wanalofanya ndiyo Demokrasia!

ff6c586da1d677dc6fc811fb824bd100
 
From USA to France to UK to Brazil to Mexico to Philippines. ...... they all burn stuff when protesters get angry and turn violent... kwahivyo democrasia zao zote ni uongo
Screenshot_2016-06-15-17-50-57.png
Screenshot_2016-06-15-17-52-17.png
Screenshot_2016-06-15-17-51-19.png
Screenshot_2016-06-15-17-54-06.png
Screenshot_2016-06-15-17-53-01.png
Screenshot_2016-06-15-17-53-42.png
 
Siasa au demokrasia ya hivi kweli!!?
9460385639ec272cc2e06714e2319777.jpg
135a3d8a4d20cfdc50fd8239baf66e74.jpg
853caa6c889594f14af4cc63bafab15b.jpg
901f0906ecb811949eb64e46c5d41901.jpg

Chuki ni nyingi sana
huyu mtu asipo kuwa makini itakula kwake
a02c6c6537490e34a7793e4200992123.jpg
 
daahh watanzania hatuna hulka hizi mnazozionesha humu jf......

Wakenya ni binaadamu na tena ni waafrika wenzetu... hivyo, machafuko yao si ya kuyashupalia

Poleni wakenya na ninatumai hamtarudi 2007 .....
 
People in Tanzania know nothing just being scared of their government is not being peaceful or democratic
 
Wakenya wanaharibiwa sana na ukabila nafikiri. Kwa jinsi miaka ya 80 walivyokuwa wameshapiga hatua, nafikiri wangekuwa mbali sana kama siyo mambo haya yao ukabila. Kenya watakuja kupitwa na Tanzania ktk uchumi in very very near future, just guessing. Ha ha ha ha

Naona Kenya ya Moi ilikuwa nzuri kuliko kenya ya leo. Oops
 
People in Tanzania know nothing just being scared of their government is not being peaceful or democratic

Unachanganya mambo, hatuogopi Serikali bali tunaheshimu Mamlaka iliyopo, kuna tofauti hapo, kutokutii Mamlaka ni jambo baya na la hatari sana, nitakupa mfano kwa sasa hivi upinzani Kenya hawaheshimu Mamlaka iliyopo lkn nao siku moja watakuja kuwa Serikalini na je ili waongoze kwa amani na utulivu hawatapenda kuwa na jamii inayoheshimu Mamlaka? Where do you draw a line?
 
mume heshimu CCM tangu mpate uhuru..... hivo ndo unasema?

hakuna true democracy kama wananchi 'wanaheshimu' serikali.... am sure uki google utaona quote inayo fanana na hio.... lazma kuna mtu hapendi serikali kabisa.... kama maombi yake hayasikizwi, ni lazma atafute mbinu nyengine asikizwe, je serikali ya Tz ni serikali ya kusikiza wapinzani wake ama ni serikali ya kunyamazisha wapinzania wake?
 
Back
Top Bottom