Penguini
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 388
- 299
Habari zenu wana jamvi,
Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni,
je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho?
Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus huondolewa kwa sabuni ya unga pia, mie nilichanganya maji na sabuni ya unga ya 'MOO'.
Nimeitumia mpaka nimepona, ila ile sabuni, japo ni ya kufulia HAIWASHI MACHONI KABISA, whetever kwamba inaweza kuwa na side infect ama la, ila haikuniwasha na imenitibu, sasa nimepata swali, kwa nini hawa watengeneza sabuni bado wanatengeneza sabuni zinazowasha?
Je, ule muwasho una ulazima gani? Ama wamechelewa ki-teknolojia?