Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Soma Uzi huu halafu unambiankama ana sifa kama hizii Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!Sikupenda kufikia hatua hiyo, lakini kila mtu ana kiwango cha uvumilivu.
Nilitafuta njia ya amani kwa muda mrefu, lakini dharau, matusi na kutojali vilivuka mipaka.
Hata hivyo, najua kutumia nguvu siyo suluhisho bora , lakini wakati mwingine mtu akichokozwa kupita kiasi, hutokea.
Sitetei kosa, lakini pia siwezi kuruhusu nidhalilishwe kila siku kama sina thamani.
Mkuu vaaa viatu vya muhusika tafadhaliNaona kama siku hizi hakuna maadili ya ndoa, ni maslahi tu, kama hakuna maslahi ndoa huyumba na kuvunjika
Au huna hela? Maana ndoa za sikuhizi mwanaume kama huna hela utateseka sana...yaan nje mkeo atasifiwa ni mvumilivu kumbe wewe ndiyo unavumilia jeuri na kejeli ndaniSikupenda kufikia hatua hiyo, lakini kila mtu ana kiwango cha uvumilivu.
Nilitafuta njia ya amani kwa muda mrefu, lakini dharau, matusi na kutojali vilivuka mipaka.
Hata hivyo, najua kutumia nguvu siyo suluhisho bora , lakini wakati mwingine mtu akichokozwa kupita kiasi, hutokea.
Sitetei kosa, lakini pia siwezi kuruhusu nidhalilishwe kila siku kama sina thamani.
Ahsante kwa ushauri wako wenye busara.utaweza kuvumilia kuishi peke yako au utatafuta mke mwingine? Mind kuwa wanawake hawafanani baadhi ya tabia usije ukapata mwingine mbaya zaidi kuliko huyo. Kama vipi mbembeleze myamalize muendelee kuishi
Wanaopitia matatizo ni watu ambao walijitolea kuwasitiri hawa wanawake.Kama ni mke wako kaa nae chini myamalize muulize shida nini kwa upole sana ila kama ni mpenzi tu na hauna malengo yoyote piga chini endelea kutafta hela.
Usimuendekeze mwanamke maana atachokufanya utajutaUnaona kama Mimi yule narcissist alivonifanya haya Sasa mwinginee huyuuu
Kwahyo unamshauri apige chini?Wanaopitia matatizo ni watu ambao walijitolea kuwasitiri hawa wanawake.
ukweli kabisa.Au huna hela? Maana ndoa za sikuhizi mwanaume kama huna hela utateseka sana...yaan nje mkeo atasifiwa ni mvumilivu kumbe wewe ndiyo unavumilia jeuri na kejeli ndani
Mwanamke akienda kwao kwa kiburi chake usimfate hiyo ndo kanuni ilivyo, ukimfata tu umempa point 3 umepoteza mechi.Akienda aende na asirudi. Mwanamke ukimuendekeza anakugeuza msukule wake.
Ni kweli usemayo mkuu,lakini kwenye kizazi hiki Cha nyoka,kilichojaa dharau na kiburi....ni nani utampata mtakatifu asilimia zote... Mwenyezi Mungu awapiganie sana...tupo kwenye nyakati ngumu sanaukweli kabisa.
Siku hizi mwanaume ukikosa hela unakosa heshima hata ndani ya nyumba yako.
Lakini kwa upande wangu, siyo kwamba sina hela ila hata kama ningekuwa sina, heshima ni kitu cha msingi ambacho hakitakiwi kutegemea pesa.
Mke anajengwa na moyo wa heshima na uvumilivu , si kwa sababu ya unene wa pochi.
Ndoa ni kuvumiliana na kujengana, si kushindana au kudharauliana.
Kwa hiyo kama mtu hawezi kuvumilia wakati wa changamoto, si mtu sahihi kuwa sehemu ya maisha yangu.
Nimeelewa na shukrani kwa ushauri wako. Kweli, tabia mbaya ikiachwa bila kukemewa inajenga mizizi, na ndiyo maana sasa mambo yamefikia hapo.Umesema ana hiyo tabia ya kukudharau, shida iko kwako. Unaachaje tabia inajenga mazoea? Pale anapoanza tabia isiyokubalika ungeanza kumkanya. Umesubiria imeota mizizi akakupanda kichwani.
Ulipompiga angenyooka, sasa hivi ungekuwa unaongea mengine. Usiwe na tabia ya kumpiga yeyote, watu wanatembea na umauti, sababu utakuwa niwewe kumbe ahadi yake imefika. Mapenzi hayashauriwi, ila mlipofikia kwanza kila mtu, atawanyike, hasira zikiisha na mkijiona bado mnapendana mtatafutana. Poleni ndiyo mahabati hayo...
Mwenyezi Mungu akutangulie, mtu anayekubali makosa yake ni mtu mwema sana. Wachache sana hukubali na kuvumilia matusi na dharau. Kama ulivyoweza kuvumilia hayo yote, nakuombea upate wa kuendana naye mtakayeishi maisha ya amani na upendo.Nimeelewa na shukrani kwa ushauri wako. Kweli, tabia mbaya ikiachwa bila kukemewa inajenga mizizi, na ndiyo maana sasa mambo yamefikia hapo.
Siwezi kujitetea kwa kumfanya mtu kuwa mtumwa wa hasira zangu, na napokea makosa yangu.
Lakini pia, siwezi kuendelea kuvumilia dharau.
Ahsante kwa ushauri wako. Nimejifunza kuwa wakati mwingine ni muhimu kujishusha ili kuepuka migogoro, lakini pia heshima ni jambo la msingi.Ingekuwa Mwaka 47 na Wazee wetu wanatumia hasira za hivyo, nahisi wote tungelelewa na Single Parent
Ili kusolve hilo jambo lako, ulipaswa ujishushe
Ukiona Mkeo/Mumeo amekasirika Kwa kiwango hicho, hakuna budi mmoja wenu ajishushe ili kuweza kuhimili atmosphere ya wakati huo
Otherwise Ndoa zetu wote zingekuwa zimeshavunjika kitambo.
Huenda Mkeo amegundua usaliti unaomfanyia at her back, hivyo akapandwa na hasira hadi kufikia huko mlikofikia
Lazima Kuna sababu kubwa nyuma ya hasira za mkeo
Sio vibaya kujishusha na kuongea naye Kwa upole ili kutafuta suluhu
Nashukuru Mkuu, ni kweli tunapitia nyakati ngumu, lakini tukijitahidi kwa pamoja na kumtegemea Mungu, tunaweza kupata amani na suluhu. Mungu atupatie njia.Ni kweli usemayo mkuu,lakini kwenye kizazi hiki Cha nyoka,kilichojaa dharau na kiburi....ni nani utampata mtakatifu asilimia zote... Mwenyezi Mungu awapiganie sana...tupo kwenye nyakati ngumu sana