Wake zetu na Ma Housegirl

Wake zetu na Ma Housegirl

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
746
Reaction score
473
Nawasalim,

Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.

Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.

Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.

Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!

Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.
 
Simama kama baba na umueleze mkeo hapo sio Guantanamo wewe ni baba and you should prescribe haki za wanafamilia bila kupepesa kope akiwasha moto nje na ye akiingia room mueleze na kumkanya kuwa manyanyaso sio issue maisha haya

Huyo dada ni just a hardlucked otherwise angekuwa shule au chuo so weakness isiwe chanzo cha kumnyima raha.......na unapokuwepo wewe onesha kwa vitendo kwa kuongea nae kwa ukarimu na kumuelekeza kama kiongozi wa familia (authoritatvie tone.......not barking at her)

Ni changamoto lakini inawezekana................jitofautishe na wavulana kwa kufanya ya wanaume!!!!!!!
 
Nawasalim,

Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.

Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.

Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.

Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!

Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.

Labda nikuulize swali la kiuchokozi, huyu msichana wa kazi nani alimtafuta, wewe au yeye? Na hii tabia ni kwa msichana huyu tu au kwa wasichana wote uliowahi kukaa nao?
 
Nakumbuka kuna rafiki yangu kipidi tunasoma tukawa na mjadala wa sisi kwa sisi kuhusu wafanya kazi yeye akasema once akija kuwa na mfanyakazi kama atakuwa anakosea atakuwa ana mpiga ,

Mis treatment ya house girls ni tabia tu mtu , na hii ni inaweza ikasababishwa na stress alizo nazo mama mwenye nyumba hata kuto kujiamini pia.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkeo anafanya hivyo kwasababu anawasiwasi na wewe , Maaana nyie wanaume huwa hamueleweki kuhusu wasaidizi wa ndani,Pia mimi nafikiria kaa na mke muelekeze ama mshauri kuhusu kuishi na huyo binti, pia muhakikishie kuwa asiwe na wasiwasi na wewe juu ya binti wa kazi.Vilevile yeye Mama ndiye anayetakiwa kuwa karibu na binti kuliko wewe.

Pindi anapomfokea ama kumgombeza wewe usingilie, waache ila pembeni mwite mkeo umueleweshe usimgombeze mkeo mbele ya binti.
 
Kuna baadhi ya watu huna na mawazo kuwa house girl ni kijakazi, hastahili hata kula chakula mnachokula ninyi. Mweleze mkeo kuwa amshukuru mungu kwa kumpa wazazi wwaliokuwa na uwezo na kumpatia elimu. Huyo house girl ametoka kijijini huenda hata friji ndio kwanza kalionea hapo, sasa ni wajibu wa mke wako kumfundisha, asifikiri shule ni mpaka uende darasani.
 
Ongea na mkeo kwa upendo amfundishe huyo bint taratibu kwa upole.pia ahakikishe bint anapata muda wa kupumzika mchana na usiku alale mapema.kama ana tabia njema hamtajuta.nina wa kwangu nilimpata alikua hajui chochote nikafanya hivyo ni mwaka wa nne ninae na hana ukorofi.
 
Ukimaliza kujibu maswali ya FP na HorsePower nami nitaweza kuchangia vizuri.

Ila kwa sasa labda nikusaidie hapo kwenye kuondoa viombo.
Sidhani kama mnafanya vyema kwani hiyo inampasa hata mkeo kuondoa viombo mmalizapo kula sio mpaka House Girl aache kulala eti anasubiria mmalize kula aondoe viombo.
Hebu jaribuni kumfanya kama mwanenu, msimchukulie kama mtu baki, muonyesheni upendo na kumthamini.
Sio kitu kidogo tu, mnagomba wakati ni maswala ya kuelezana taratibu.
 
Kuna watu wanaona hg kama mnyama vile or what na hawawezi kuishi na mahosegirl vizuri na huku wanataka wafanyiwe kazi.

But inaonyesha wewe na mkeo ni wavivu, unless mniambie kuna sababu ya maana iliyowafanya mchukue house girl. kama nimekusoma mpo watatu ukiongeza house girl. Sioni sababu house girl awe gumzo wakati kama kazi zenyewe ni za kupika na kusafisha. Ondoeni housegirl, kazi hizo ni ndogondogo zifanyeni wenyewe mtakuwa na amani.
 
Dawa ni kumtarasua huyo house girl mambo yake sawa............................!:tape2:
 
Nina maswali naomba unijibu,
1.Mmeishi bila housegirl kwa muda gani?
2.Mkeo kabla ya kuja housegirl alikuwa akipika na kutoa vyombo au ndio mtu mzima ulikuwa ukifanya kazi hizo?
3.Mkeo anafanya kazi au ni mama wa nyumbani?
Ningeuliza maswali mengi lakini naona yatakuja baadae baada ya kunijibu haya,ila mkuu huwezi achilia hili la mkeo kula na wewe halafu aje kutoa vyombo housegirl maana halina tofauti na kula chakula cha usiku na mkeo halafu shuka aje kufua housegirl,kuwa makini na simama kama mume ndani ya nyumba.
 
Labda nikuulize swali la kiuchokozi, huyu msichana wa kazi nani alimtafuta, wewe au yeye? Na hii tabia ni kwa msichana huyu tu au kwa wasichana wote uliowahi kukaa nao?

Huyu msichana alitafutwa na mama yake mdogo na mke wangu. Huyu ni msichana wa kwanza kuanza kuishi nae ndani ya nyumba, msaidizi wa kwanza alikuwa anakuja na kuondoka na alikuwa na familia(mume na mtoto)
 
Mkeo anafanya hivyo kwasababu anawasiwasi na wewe , Maaana nyie wanaume huwa hamueleweki kuhusu wasaidizi wa ndani,Pia mimi nafikiria kaa na mke muelekeze ama mshauri kuhusu kuishi na huyo binti, pia muhakikishie kuwa asiwe na wasiwasi na wewe juu ya binti wa kazi.Vilevile yeye Mama ndiye anayetakiwa kuwa karibu na binti kuliko wewe.

Pindi anapomfokea ama kumgombeza wewe usingilie, waache ila pembeni mwite mkeo umueleweshe usimgombeze mkeo mbele ya binti.

Huu ushauri nimepewa na aliyekuwa bestman wangu leo hii!! Asante
 
Nawasalim,

Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.

Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia pale nyumbani. Mke wangu anamkosoa huyu dada kwa kila jambo tena kwa ukali. Mara nyingine naona kabisa anamuonea lakini kuingialia hapo ni ugomvi usioisha.

Pia nimegundua mke wangu kama ana pressure hivi kuhusu huyo dada. By the way ni dada mdogo 18yrs ametoka kijijini Iringa, hata kufungua mlango wa fridge alikuwa hajui, amefundishwa siku mbili tatu.

Tatizo hasa kwa akina mama ni nini? Mfano nimemshauri mke wangu amuandalie ratiba ya siku na kazi za kufanya zile fixed. Sababu tunaishi watatu tu kwa sasa, kazi si nyingi. Yeye atamuamsha saa kumi na moja asubuhi na usiku mpaka asubirie tule atoe vyombo ndio akalale!!

Amani imepotea kiasi ndani nyumba. Kwa wenye experience naomba tushirikishane, je ni approach gani nzuri niitumie ili kila mtu awe na amani nyumbani. Amani namaanisha dada wa kazi ajisikie kama mtu anayethaminiwa na mke wangu asione kama mimi nina mawazo mabaya(ngono etc) kwa dada au asione kama nampendelea dada**.

Wewe una matatizo ndio maana huyo unaemuita mke wako amekuchoka sasa anakutafutia tu sababu!
 
Kuna watu wanaona hg kama mnyama vile or what na hawawezi kuishi na mahosegirl vizuri na huku wanataka wafanyiwe kazi.

But inaonyesha wewe na mkeo ni wavivu, unless mniambie kuna sababu ya maana iliyowafanya mchukue house girl. kama nimekusoma mpo watatu ukiongeza house girl. Sioni sababu house girl awe gumzo wakati kama kazi zenyewe ni za kupika na kusafisha. Ondoeni housegirl, kazi hizo ni ndogondogo zifanyeni wenyewe mtakuwa na amani.

Mke mama Kijacho na kuwa na msaidizi wa kazi si jambo baya au kuonesha uvivu. Kinachonikwaza mimi ni namna mke wangu anavyomtreat huyu dada,,,,,,,
 
Dawa ni kumtarasua huyo house girl mambo yake sawa............................!:tape2:

Kutarasua maana yake ni nini? Kama ni kuzini nae,,,,,, sidhani kama umetoa ushauri huo kutoka moyoni mwako. Kama ndio basi nashukuru!
 
Wewe una matatizo ndio maana huyo unaemuita mke wako amekuchoka sasa anakutafutia tu sababu!

Labda haujasoma vyema;;

MKE WANGU mambo anayoyafanya kwa dada wa nyumbani yananifanya nisifurahi. Hamtreat vizuri,,,,, Sasa matatizo yangu hapo na mke wangu kunichoka vimetokea wapi??
 
Back
Top Bottom