Ngoja nikuacheUkiona umeguswa Matusi hayasaidii Badilika tu......JINGA ndio nini sasa? Pumba kabisa...
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!
Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?
Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?
Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
Hujaniita? Umeleta mada ya nini humu? Au hao ulowaita wako wapi?Sijakuita Hapa umekuja mwenyewe na mapovu yako..........
Duuuh.. STD's tutapona kweliNajua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!
Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?
Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?
Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
[emoji23]Mke wako ndo hafaidi, sio kila mke wa mtu hamfaidi mumewe.
Mwambie mkeo hayo mambo!!!!
Jinga wewe
Tit for tat.. Teh teh..Ni kweli hata mkeo mruhusu awe na michepuko maana hata huna vigezo vyote vya kuwa mwanaume aliyekamilika. Acha roho mbaya share mkeo na wanaume wenzako.
wafwaaaaaaaaaaaNajua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!