FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
tunapenda tu kutoka kama waume zetu.
Aaah ayanda, kumbe yanaongeleka kabisa?! kama yeye ashaongea ni wewe tu kufanya maamuzi kama mnaanza upya or not. Looks like the ball is actually on your court, ni wewe tu kuamua uuchezeje.
Mama yangu!
usitaje bure jina la mama yako.
sorry hapo kwenye RED.
Mtu aliyeoa si mvulana ni mwanaume na pia wake wengi za watu tunapenda wanaume and not wavulana.
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.
IKO HIVI:kitu cha mwisho kabisa kukiwazia nikiwa na matatizo katika ndoa ni kutoka nje ya ndoa......
hapo yaani naona kuwa najikomoa mwenyewe.....
halafu hivi ukiwa na hasira unaweza kuwaza mapenzi? tena na mtu wa nje?
kwani hapa kuna mashindano ya hoja.
anyway, ningekuwa wewe nisingejibu.
unajua i dont get a point as to why people here quote me or reply to me.
jamani punguzeni jazba, mwenzenu najipa raha tu nicheke then niende zangu home.Nyie mmekazana na mambo ya ndoa!
ah poleni
usitaje bure jina la mama yako.
ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
huna kazi ya kufanya?njoo ntakupa lamia embe
We ayanda unaonekana ni Paka uliekubuhu katika umalaya na uliingia ktk ndoa kutoa nuksi tu. Mke wa kweli hawezi kuongea maneno kama haya.
kama humridhshi?hapati dudu atakaa bila kutoka kwan amekufa ganzi?
Aisifiae mvua???
Sent from my EyePhone
Mwanaume huna mapenzi huna utani hucheki na mkeo ni kununa mke hana uhuru na wewe anakuogopa humpi nafasi ya kuwa marafiki ukiwa home unaleta ubosi wako hutoki out na mkeo,mwanamke gani atavumilia ujinga huu watatoka sana tu hamjui kuwaenzi wanawake mnafikiri na watumwa wenu ndo mkome wanaume wenye tabia hizo subirini yesu arudi ayarekebishe.