Wake za Magufuli na Lowassa


Tena tutafanya maamuzi sahihi kabisa. Hatuwezi kuruhusu nchi yetu nzuri namna hii ikachukuliwa na majizi, hapana, tutahakikisha MAGUFULI anaingia Ikulu.
 
Usichokifaham ni kuwa ufirst lady ni kazi ni cheo na unalipwa mshahara km kawaida na km Magufuli atashinda basi Mama Janet atalazimika kuacha ualimu na kuungana na mumewe kwnye kazi ya kuliongoza Taifa.
 
Familia ya mafisadi inataka kwenda ikulu ndo kazi anayoifanya make wa lowasa na lowasa mwenyewe,lkn naamini wenye akili watalisaidia taifa,

Kwani hujui walioko ikulu pia ni mafisadi au unajitoa ufahamu! na ufisadi chuo chake kipo ccm kwa taarifa yako!
 
Hahaha hajui kua chuo cha mafiaadi ni ccm👍👍👍
 
South Africa wasitutishe na ZUMA wao. Jacob, Tanzania here we come..... Kuvunja rekodi yako. Push Up zake sasa 🙂

MIZIGO YA ZUMA, Damn!!

Magufuli hazunguki na mkewe kwa kuwa ana wake wengi
 

Ungesikia kuwa Magufuli anaambatana na mamako kwenye kampeni ungejisikiaje? Kikwete alivyokuwa anaambatana na familia yake kwenye kampeni ulikuwa wapi? Ulisikia kauli ya Kikwete kuhusu kupigiwa kampeni na familia yake? Mwacheni mama Regina apige kampeni maana anaweza!
 

Siku hizi mama yako n regina?
 

Vipi yule aliyeshindwa kwenda chooni akamalizia kwenye sarawili anafaa kuwa president?
 
Magufuli ana michepuko kibao mingine aliigawia Nyumba za Serikali pia kila anapolala kwenye kampeni yupo na mchepuko mapya,

Wewe ni mchepuko wa wangapi wa Magufuli?
 
Vipi yule aliyeshindwa kwenda chooni akamalizia kwenye sarawili anafaa kuwa president?

Ni aibu asee
hafai

Tukio hilo ndo limemfanya kila akishuka anakimbilia choon yasije kujirudia ya chato
 

Kama unakosa mapenzi na mkeo huwezi kuwa na mapenzi na mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…