Wake za Magufuli na Lowassa

Ukimsikia MTU anadai eti tamaa ya Urais jua
Kwamba Lowassa ni I .rais.........

Na wanajua hali ya.magamba ni mbayaa
 
Zinakuhusu nini mbona haujaleta kero za lowasa na Regina chini ya melinagu,pia na baada ya kiarusi kuvunga kila kitu chini,na mkewe kuishi kama,,,[/

kama unajua hazinihusu vivyo nanyi habar za Lowasa na mkewe haziwahusu acheni kuzijadiri.
 
MKE wamagufuli yupi MDOGO au yu le n...... Masaki
 
ukweli n mchungu kumeza
lakin
east or weast
magufuli is best

viva magufuli viva

i guess you are missing a point here... Magufuli can be the best but what about 'ccm ni ileile'?

Now with this dude being 'ile ile' better lowasa outside ccm!
 
Utofauti wa lowasa na magufuli ni hivi,lowasa ANAITAJI msaada kila anachokifanya,na kwa uhakika,hakuna mahali popote lowasa anaweza kuita mkutano na watu wakasikiliza anachoongea akiwa peke yake,kwa uhakika wa haya ndo maana ukawa wanafanya kila namna hasije kwenye mdahalo,na ndo maana make wake anabidi kumdaidi na hata walipoita mkutano wa wanawake wa cdm lowasa alisahau kutaja jina LA mke wake,el ni dhaifu msaada ni muhimu sana
 
i guess you are missing a point here... Magufuli can be the best but what about 'ccm ni ileile'?

Now with this dude being 'ile ile' better lowasa outside ccm!

Ni bora MTU aliyeishi na mashetani lakini akawa mtakatifu ,hakika tunaweza kumpima kuwa kama ameishi na mashetani lkn akawa mtakatifu,inamaana anatosha kuriko shetani anayejigeuza kama kinyonga na kuwaada watu kuwa ni maraika lkn ukimuangalia yeye na mitandao iliyomzunguka na yeye bado ni shetani Wa roho ila ni malaika wa sula
Magufuli v lowasa,
 
Hivi mtu anatumia macomment kibao kujaribu kutetea na kushawishi uongo watu wazima inahusu? Wenye macho tunaona kwahiyo usitake kutuaminisha tope lako kichwani. Utapiga kelele kuficha lakini ukweli unabaki palepale, mtu nyumbani tu kachemka, sembuse..
 
Kanone.tuambie wizi wa lowassa kwa mapana na marefu.na wema wa magufuli kwa mapana na marefu

Mkuu unajiaibisha sana! Huyo mtu unamjibu wa nini? We songa mbele, mabadiliko yana vikwazo na namna peke ya kuvishinda ni kudeal na target, kwa sasa kuendelea kulumbuna sio target yetu!
 
Ukimsikia MTU anadai eti tamaa ya Urais jua
Kwamba Lowassa ni I .rais.........

Na wanajua hali ya.magamba ni mbayaa
Ukitaka ujue hali ilivyo jiulize kwanini mbowe anapiga kelele na kugombana na vyombo vya Dora! Hivi kuna rais anaingia madarakani na migogoro na Dora,poleni madikini mbowe aliwauza tulioshutuka tunaondoka na sla. Wetu,
 

unapopotea ni pale unaposahau kwamba.. Utawala si wa mtu mmoja, kwa hiyo 'ccm ni ile ile' kwa maana watu wake, na mfumo wake... By theway magufuli si kwamba ni msafi, ila kwa vile amekaa na wachafu zaidi anaonekana walau... Ila kwa mwendo wa ile ile no please!
mabadiliko with no apology!
bora jiwe enough is enough!
 

Tena kaanzq kutukanwa na akina Makonda na Nape akiwa ccm lakini hakuonyesha kukasirika,huyu ni kiongozi wa mfano mwema pamoja na mapungufu aliyonayo. Mungu mbariki Lowassa.
 
Kauli ya kukata tamaa mkuu, kwani huwezi linganisha mtu mwenye certificate na mwl wa shule ya msingi anayefundisha std ukamlinganisha nw nwenye masters. Hivi huyo mwl atawaambia nini watu ambao wengi wao ni wasomi sana tuu !!! ?
 
Mkuu unajiaibisha sana! Huyo mtu unamjibu wa nini? We songa mbele, mabadiliko yana vikwazo na namna peke ya kuvishinda ni kudeal na target, kwa sasa kuendelea kulumbuna sio target yetu!

Mwambie nimemjibu atafute comment yangu ,hakuna cha target wala nini,mbowe muhulize kwanini anapiga kelele kama anahuakika wa kupata target ,habari ndo hiyo
 

we unafikiri Salma alikuwa na kazi gani 2005? Au aliomba likizo?
 

Kwa hiyo we we ni first lady wa Alcohol Padlock?!!!!
 
Mke vyumba tofauti?
 
Kurudisha Ccm nice saw a nakujitakia kufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…