D
Deleted member 485868
Guest
Kabisa Dada angu..na wengine sasa wanaona suluhu ni kutafuta nyumba ndogo..wanakosea sanaKazia mdogo wangu sababu suluhu ni kuzungumza na mkewe maana siku zote wanasema hakuna binadamu aliyekamilika.