Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Wakati wa uchumba mambo yanaenda sawia.. Kukutana japo kwa kuibana sehemu tofauti ni burudani tosha na mahaba tele ikiwa pamoja na kuoga pamoja
Baada ya kupata mtoto wa kwanza.. Kuna ka tofauti unaanza kukaona... Mtoto wa pili.. Katofauti kanaongezeka... Wa Tatu... Ooh... Yale yote ya uchumba uliozoea hakuna kabisa!?
Yote tisa shida kubwa inakuja kwenye faragha.. Mke anafanya kila namna kukukimbia wakati wa kulala ikiwa ni pamoja na visingizio vingi..
(1)Leo nimeichoka sana
(2)Leo nina usingizi mwingi
(3)Kesho naamka mapema sana
Na mengine mengi
Cha ajabu wakati wa mchana au wakija wageni muda wote yuko vizuri shida ifikapo muda wa kulala, mara nyingine unafanya ku force sasa ujue mambo haya ya nature hayataki nguvu... Utakosa feeling tu hata akiruhusu ki shingo upande!
Changamoto inakuja pale unapotoka nje kwa Mihangaiko ya kawaida unakutana na mambo mengi unakutana na wanawake wa age tofauti walio single na wengine wengi wakiwa wameikosa faragha ya kuwa na mwenza kwa kipindi kirefu ama kwa kukosa Bahati ya kuolewa ama kwa kufiwa... Na unakuta wanakuhitaji kweli.. Hapo ndio unapoomba mungu akupe uvumilivu
Huwa najiuliza ni nature tu au? Upande mwingine huwa najikuta naunga mkono utaratibu wa dhehebu la wenzetu wa kuwa nao wanne kweli walikuwa sahihi
Na hapa ndio sehemu pekee penye tatizo kubwa la Ndoa
Na ukichunguza ndio sababu hasa za waume tuwe na nyumba ndogo si kama wengi wanapenda
Rekebisheni!!
 
Aisee brother pole sana mpaka sa hii bilabila umeandika uzi kwa uchungu sana
ukipeleka mkono unaputwaa ukijifanya kususa huwezii unajaribu wapiii unasusa kidogo haubembelezwi unapeleeka mkono taratibu katulia unajipa matumaini kaeleweka aiseee ikikalibia IKULU unatupwa kule mkono aisee noma sana hawa Viumbe
anakujakukutengea Alfjri yaan ushachoka zako hata round uchukui shenzi sana hawa viumbee
 
Wakati wa uchumba mambo yanaenda sawia.. Kukutana japo kwa kuibana sehemu tofauti ni burudani tosha na mahaba tele ikiwa pamoja na kuoga pamoja
Baada ya kupata mtoto wa kwanza.. Kuna ka tofauti unaanza kukaona... Mtoto wa pili.. Katofauti kanaongezeka... Wa Tatu... Ooh... Yale yote ya uchumba uliozoea hakuna kabisa!?
Yote tisa shida kubwa inakuja kwenye faragha.. Mke anafanya kila namna kukukimbia wakati wa kulala ikiwa ni pamoja na visingizio vingi..
(1)Leo nimeichoka sana
(2)Leo nina usingizi mwingi
(3)Kesho naamka mapema sana
Na mengine mengi
Cha ajabu wakati wa mchana au wakija wageni muda wote yuko vizuri shida ifikapo muda wa kulala, mara nyingine unafanya ku force sasa ujue mambo haya ya nature hayataki nguvu... Utakosa feeling tu hata akiruhusu ki shingo upande!
Changamoto inakuja pale unapotoka nje kwa Mihangaiko ya kawaida unakutana na mambo mengi unakutana na wanawake wa age tofauti walio single na wengine wengi wakiwa wameikosa faragha ya kuwa na mwenza kwa kipindi kirefu ama kwa kukosa Bahati ya kuolewa ama kwa kufiwa... Na unakuta wanakuhitaji kweli.. Hapo ndio unapoomba mungu akupe uvumilivu
Huwa najiuliza ni nature tu au? Upande mwingine huwa najikuta naunga mkono utaratibu wa dhehebu la wenzetu wa kuwa nao wanne kweli walikuwa sahihi
Na hapa ndio sehemu pekee penye tatizo kubwa la Ndoa
Na ukichunguza ndio sababu hasa za waume tuwe na nyumba ndogo si kama wengi wanapenda
Rekebisheni!!
Mkuu karibu sana kwenye dini tukufu ya uislam
 
karibu upande wetu mkuu
 
Punguza kulalamika Mkuu kaa chini na mkeo mzungumze. Japo nimejikuta nashangaa ikiwa yote yaliyo hapo kwenye mabano unakubaliana nayo unategemea mwisho wa siku iweje kwa upande wako?

Pia wacha kuonea wivu walioruhusiwa kuwa na wake wengi. Maana wao nao pia wana changamoto zao Mkuu.
 
wacha kutafuta sababu ya kuchepuka, iheshimu dini yako.....ni kweli kabisa mambi huwa yanachange hasa majukumu yanapoongezeka.....unabakia kuhesabu watoto....did u play ur part even in 58%?? au wewe ni mume kudandia tuu... mfanye mkeo mpya daily brother........mpandishe nyege mapema mkuuu......ukiwa ofisi anza kumshawishi...wanawake ni hisia mkuu.......muweke tayari kupakuliwa ni wako huyoooo.....ofcoz kashinda kutwa nzima akipambana na majukumu ya home......ila namba huanzia 0...........but huishia mbaaaali......huyo ndio chaguo lako.....rejesha mahaba ya awali...waweza.....kitanda chenu kinachosha.....nunua kingine braza........siku nyingine fukuza wote home....mkazie hata jikoni....faragha shtukizi hiyo......jitahidi unaweza......
 
Punguza kulalamika Mkuu kaa chini na mkeo mzungumze. Japo nimejikuta nashangaa ikiwa yote yaliyo hapo kwenye mabano unakubaliana nayo unategemea mwisho wa siku iweje kwa upande wako?

Pia wacha kuonea wivu walioruhusiwa kuwa na wake wengi. Maana wao nao pia wana changamoto zao Mkuu.
Ushauri mujarabu kabisa
 
Nimekuona waajabu sana mkuu, yaani mambo madogo kama haya unashindwa kuyasimamia na kuyamaliza hata kwa kuchukua maamuzi magumu kama mume...
Yaani kama unashindwa kuhandle vitu vidogo kama hivi..... Kweli nawewe unajiita mwanaume mwenye mji, kwamaana ya Baba...
Mkuu, binafsi umenisikitisha sana, hadi nimeweza labda wewe niwa Daslam
 
karibu upande wetu mkuu
Na mnaongoza kuowa na kuacha kisa dini bado unawake 3 na unachepuka wanaume amrithikagi ilo ndo jibu ata upewe kila siku Mara 3 bado tu utataka na ya njee uonje

Yaani mpo kama paka ataa ashibe vipi panya akikatiza atamuwinda tu ata kama amli atamchezea tu
 
Back
Top Bottom