Wakazi wa Same na Arusha.

Wakazi wa Same na Arusha.

P mbona unambania bhanaaa wakati wajua ninaishi Themi huku...
arif hebu lete mchongo wa fuba

Nakuzawadia uraia wa Arachuga arif wangu watu8 kwa kutoa jibu sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Nakuzawadia uraia wa Arachuga arif wangu watu8 kwa kutoa jibu sahihi.

Aisee kaka naiopokea zawadi hiyo kwa mikono yote miwili....ngoja nitafute plot niweke na mjengo kule Kisongo
 
Last edited by a moderator:
Aisee kaka naiopokea zawadi hiyo kwa mikono yote miwili....ngoja nitafute plot niweke na mjengo kule Kisongo

Kisongo noma, kuna population balaa nakupa pale Olkarien utapapenda kichizi.
 
Kisongo noma, kuna population balaa nakupa pale Olkarien utapapenda kichizi.

Hata pande hizo sio mbaya mkuu...huko kazi yetu itakua ni kuangusha mbuzi kila wikiendi kama Nyinda vile...
 
Acha roho mbaya. Si umeambie mie niko almatejoo hapa karibu? Muambie tukutane kwa nick nna hamu na samaki wa foil hadi roho inapwita!
Haina jala arrif. Uko Liborru au ngalelo? Sikurid kiaina. Afu Filipo ngoja nikupandie hewani.
 
Last edited by a moderator:
$$$$$$$$$ Kipipi $$$$$$$$$
&&&$$$$$$ Love U &&&&$$$$
 
Last edited by a moderator:
Hata pande hizo sio mbaya mkuu...huko kazi yetu itakua ni kuangusha mbuzi kila wikiendi kama Nyinda vile...

NYINDAAA watu8 umenikumbusha meee ngoja niwatafute jf arachuga twenzetu lanchi kwa Morombo if you know there!
 
Last edited by a moderator:
Acha roho mbaya. Si umeambie mie niko almatejoo hapa karibu? Muambie tukutane kwa nick nna hamu na samaki wa foil hadi roho inapwita!

Dah hapo kwa Nick na samaki wakubwa kwenye foil jion mpaka udenda wanitoka!
 
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.

Taja jinsia yako hapa
 
kuku wa kuchoma pale nasikia ni watamu balaa:-*
Mi nipo nanenane karibu na Ango!any specific reason to meet?Jf ni home pia,away from home,karibu pub la monie jioni tulambe supu.
 
na baada ya nick akaonje na ladha tamu na halisi ya mbuzi choma Qx pub
Acha roho mbaya. Si umeambie mie niko almatejoo hapa karibu? Muambie tukutane kwa nick nna hamu na samaki wa foil hadi roho inapwita!
 
Back
Top Bottom