Wakazi wa Same na Arusha.

Wakazi wa Same na Arusha.

NatJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
353
Reaction score
148
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.
 
Sidhani kama wapo........maeneo mengine labda.......? kama Mwanza hivi Isamilo kule, Mbeya.....Iringa....? kama hivyo
 
P mbona unambania bhanaaa wakati wajua ninaishi Themi huku...
arif hebu lete mchongo wa fuba
 
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.

Hebu niPM tuongee zaidi, Mkuu Arushaone umesomeka.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana Jf cc! Am a new member humu jamani ila ningependa kufahamu kama kuna wanaJf wanaoishi maeneo ya Same kilimanjaro au Arusha hasa maeneo ya Njiro nanenane maeneo ya kambini.

Haya ukishawafahamu inakuwaje arifuu.
 
Back
Top Bottom