Wakazi wa Nyakato National na Nyakato sokoni -Ilemela Mwanza tunanyang'anywa makazi yetu na watendaji wa Manispaa

2020 diwani piga chini, mbunge piga chini. Wameshindwa kazi. Mda wa kubembelezana umeisha. Hata mwenyekiti wa mtaa. pigeni chini. Mbunge kashindwa kuparua Barbara ya kutoka ilaila mpaka kabusungu. Huyu mbunge wa ilemela kashindwa kazi,
Pale Nyakato sokoni alichunguza akaona kale ka SOKO hakajapiwa akaanza harakati za kuwaadaa wanaouza sokoni kuwa anataka kuwajengea vizuri ajenge maduka alafu aje awawekee vibanda vya kisasa ..KUMBE YEYE ANAKOMAA KWENYE HALMASHAURI APIMIWE BINAFSI,dili lilipofichuka akaagopa lakini tena AKAJARIBU KULETA WAPIMAJI USIKU WANATAKA WAMPIMIE MTU SHELI YA MAFUTA hapo hapo kwenye junction ya musoma road na mecco road nyakato....VIPIMO VIKAGOMA VYA PLOT adi wakaanza kuwasumbua watoto wa mzee mmoja palepale Tena ni YATIMA waamegee eneo walivyo kataa wakawaambia nusu ya kiwanja chao marehemu baba yao alisha fidiwa labda kama aliwaficha......YAANI KAMA SIO MAGUFURI KUOGOPWA HAKI YA MUNGU wale watoto wangedhulumika DIWANI SIO MTUUUUUUU
 
MTOA MADA UNAJISUMBUA, KUNYANG'ANYWA ARDHI KUPO TANGU MWAKA JUZI CHINI YA KICHAA NA DAB...MEDIA IPO KIMYA...ILA WATU WANACHUKULIWA MASHAMBA KAMA YOTE.

next dons ni dab na magu.
 
Ilemela kwa barabara mbovu ni kiboko aisee.
 
MTOA MADA UNAJISUMBUA, KUNYANG'ANYWA ARDHI KUPO TANGU MWAKA JUZI CHINI YA KICHAA NA DAB...MEDIA IPO KIMYA...ILA WATU WANACHUKULIWA MASHAMBA KAMA YOTE.

next dons ni dab na magu.
Haya matendo Mh Rais hayajui adi aone au aambiwe, baadhi ya watumishi tu ndio WASUMBUFU NA TAMAA....
 
Acheni kulialia nyie mangosha mlijiona wajanja sana kupiga kura kikanda sasa mnalia nini?
Msubirini anakuja mkamlilie tena
 
Mzee ana kisirani sana yule. anajifanya eti alikuwa family friend na Nyerere. Anajifanya serikali yote iko mikononi mwake. Yaani hata mtu akimjambia tu tayari keshapiga simu Ikulu au kwa Waziri anayehusika. Mzee nyoko sana yule.Nakumbuka kuna siku pale kwenye baa yake anayoiita Iloganzala, kuna staff wa TANESCO alikunywa akazidisha akaanza kufanya dalili za fujo: Lahaula mzee akanyanyua simu yake ya kiganjani na kumpigia waziri MUHONGO enzi akiwa kwenye wizara hiyo....
Manina. Baba zenu walipatwa njaa miaka ya sabini mzee kafiti akawalisheni usukumani na unyantuzu yote. Ndio mwanzo wa kuitwa Iloganzala maana yake mroga njaa. Kamuulize mamako kama babako hakukorogewa uji wa njano kutoka kwa mzee kafiti shenzi zako
 
sijisikii kukutukana ujue!!!
 
Upande wa national housing au upande wa pili wa barabara ya musoma
Upande wa barabara ya musoma, kushoto kama unatoka Mwanza kwenda música tena barabarani, kuna TETESI kua kuna matajiri wanataka wapimie plot za SHOPPING MALL lakini Mkurugenzi analazimisha AWE MIDDLE MAN awapige PESA wananchi za fidia au mauziano
 
Pale Nyakato sokoni alichunguza akaona kale ka SOKO hakajapiwa akaanza harakati za kuwaadaa wanaouza sokoni kuwa anataka kuwajengea vizuri ajenge maduka alafu aje awawekee vibanda vya kisasa ..KUMBE YEYE ANAKOMAA KWENYE HALMASHAURI APIMIWE BINAFSI,dili lilipofichuka akaagopa lakini tena AKAJARIBU KULETA WAPIMAJI USIKU WANATAKA WAMPIMIE MTU SHELI YA MAFUTA hapo hapo kwenye junction ya musoma road na mecco road nyakato....VIPIMO VIKAGOMA VYA PLOT adi wakaanza kuwasumbua watoto wa mzee mmoja palepale Tena ni YATIMA waamegee eneo walivyo kataa wakawaambia nusu ya kiwanja chao marehemu baba yao alisha fidiwa labda kama aliwaficha......YAANI KAMA SIO MAGUFURI KUOGOPWA HAKI YA MUNGU wale watoto wangedhulumika DIWANI SIO MTUUUUUUU
Huyu mzee mshenzi ssna pale makoroboi ni makazi ya DC hapo ndio DC wa kwanza wakijerumani allitwa Ganzel alipajenga sasa huyu jamaa kajimilikisha kweli?
 
Upande wa barabara ya musoma, kushoto kama unatoka Mwanza kwenda música tena barabarani, kuna TETESI kua kuna matajiri wanataka wapimie plot za SHOPPING MALL lakini Mkurugenzi analazimisha AWE MIDDLE MAN awapige PESA wananchi za fidia au mauziano
Nimekusoma vizuri hilo halina shida anajisumbua tu,hawezi kulazimisha mana kila mwenye plot anauza bei yake
 
Manina. Baba zenu walipatwa njaa miaka ya sabini mzee kafiti akawalisheni usukumani na unyantuzu yote. Ndio mwanzo wa kuitwa Iloganzala maana yake mroga njaa. Kamuulize mamako kama babako hakukorogewa uji wa njano kutoka kwa mzee kafiti shenzi zako
Asante Kwa historia kumbe ndio maana ya iloganzala daaaah, mzee anachekwa sana na alivyo kiherehere wa CCM acha kabisa
 
Back
Top Bottom