MTUWAWATU2013
Member
- Jul 4, 2013
- 27
- 18
Pale Nyakato sokoni alichunguza akaona kale ka SOKO hakajapiwa akaanza harakati za kuwaadaa wanaouza sokoni kuwa anataka kuwajengea vizuri ajenge maduka alafu aje awawekee vibanda vya kisasa ..KUMBE YEYE ANAKOMAA KWENYE HALMASHAURI APIMIWE BINAFSI,dili lilipofichuka akaagopa lakini tena AKAJARIBU KULETA WAPIMAJI USIKU WANATAKA WAMPIMIE MTU SHELI YA MAFUTA hapo hapo kwenye junction ya musoma road na mecco road nyakato....VIPIMO VIKAGOMA VYA PLOT adi wakaanza kuwasumbua watoto wa mzee mmoja palepale Tena ni YATIMA waamegee eneo walivyo kataa wakawaambia nusu ya kiwanja chao marehemu baba yao alisha fidiwa labda kama aliwaficha......YAANI KAMA SIO MAGUFURI KUOGOPWA HAKI YA MUNGU wale watoto wangedhulumika DIWANI SIO MTUUUUUUU2020 diwani piga chini, mbunge piga chini. Wameshindwa kazi. Mda wa kubembelezana umeisha. Hata mwenyekiti wa mtaa. pigeni chini. Mbunge kashindwa kuparua Barbara ya kutoka ilaila mpaka kabusungu. Huyu mbunge wa ilemela kashindwa kazi,