hongera sana mamito.ni kweli na ukitaka kujua watu wana hela nenda boma...hata mimi nina kasehemu kangu pale sinza b ...mamangu...
marangu tena...mi wa hai bwanahongera sana mamito.
karibu sana marangu.
maneno aliyoyasema mbowe siku hii, hayatofautiani na yale ambayo amenukuliwa lipumba akiyasema. mbowe aliwaomba waislamu kusimama kidete kuiondoa ccm madarakani. alisema kuwa waislamu wasiichukulie chadema kuwa hakiwapendi. kina viongozi wakuu kama arfi na zitto ambao ni waisalmu. huu nao siyo udini? scramble huwa siogopi kueleza lile ambalo naona ni sahihi![]()
marangu tena...mi wa hai bwana
Unakaa pasua sehemu gani au unakaa maboginiMm naishi pasua usinitie hasira bro
Mkuu ni kweli mleta mada na watetezi wake wamesahau kazi nzuri inayofanywa na Meya na mkakati wa sasa barabara za katikati ya mji zinarekebishwa kwa mfano kata ya bondeni inayoongozwa na katibu wa madiwani wa Chadema mh. Sharifu.Vumbi la pasua ni kichekesho na upuuzi kumlaumu Meya kwani barabara hii imefanyiwa ukarabati kuanzia Mshana mpaka matindigani kwa jifunzeni kuwa wakweli sio kuongozwa na chuki.nimepata shida sana ktk huu uzi wako,
mosi PASUA ndio anapotoka meya wa manispaa ya moshi...sasa ulitaka iwe kama soweto.?
pili unadai kwamba wapiga kura wapate hao yao... swali langu ni hili: KABLA YA DIWAN KUWA JAFFARY PASUA KULIKUWA NA LAMI..? ni haki gan unayotaka wewe kwa niaba ya wapiga kura wa kata ya PASUA..?
MAONI YANGU:
Tatizo la vumbi PASUA haliwez kutatuliwa na Diwan peke yake, wewe, mimi pamoja na yule kwa pamoja ndio tunaoweza kuwa mfano wa kufikia PASUA tunayoitaka.
Ahsante
Mwananchi Mwandamiz
Mkuu ni kweli mleta mada na watetezi wake wamesahau kazi nzuri inayofanywa na Meya na mkakati wa sasa barabara za katikati ya mji zinarekebishwa kwa mfano kata ya bondeni inayoongozwa na katibu wa madiwani wa Chadema mh. Sharifu.Vumbi la pasua ni kichekesho na upuuzi kumlaumu Meya kwani barabara hii imefanyiwa ukarabati kuanzia Mshana mpaka matindigani kwa jifunzeni kuwa wakweli sio kuongozwa na chuki.
Mi sipajuwi vizuri hizo sehemu lakini nilichofurahishwa nacho ni jinsi gani wachangiaji wa Uzi huu wanavyosutana wao wenyewe bila kuweka maslahi ya chama Mbele.
Lakini nimeamini kuwa tukiweka itikadi pembeni michango inakuwa so productive n constructive. Lakini Mie ningependa kujua huyo diwani wa Pasua ambae ni Lord Mayor anatoka chama gani? Naanza pata taabu maana swali Hilo halijibiwi, any way Lord Mayor wenu mpeni ushirikiano na mumweleze haya yote kwa pamoja mtapata majibu......