utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Watu wa moshi walidanganywa wakadanganyika
Mkuu, tangu lini viongozi wa chadema wakasikia na kurekebisha madhaifu yao?? Sana utaishia kupopolewa matusi. Meya wa moshi ambaye ndio diwani wa kata ya pasua ni chademaMi sipajuwi vizuri hizo sehemu lakini nilichofurahishwa nacho ni jinsi gani wachangiaji wa Uzi huu wanavyosutana wao wenyewe bila kuweka maslahi ya chama Mbele.
Lakini nimeamini kuwa tukiweka itikadi pembeni michango inakuwa so productive n constructive. Lakini Mie ningependa kujua huyo diwani wa Pasua ambae ni Lord Mayor anatoka chama gani? Naanza pata taabu maana swali Hilo halijibiwi, any way Lord Mayor wenu mpeni ushirikiano na mumweleze haya yote kwa pamoja mtapata majibu......
Barabara za pasua zimepigwa greda zote tatizo la vumbi unataka barabara zimwagiwe maji? Majengo huo ni uzushi wako!
Moshi umekaa kama mji wa kishirikina. Watu ni wale wale, maendeleo hakuna, pesa hakuna. Wachagga wakifunga maduka yao hao wanakimbilia migombani na majani ya ngombe
aisee babangu kuna vumbi hadi mifugo inaumwa tumbo maana majani yote ni full vumbi...chaaa!Mbona hauilalamikii ile ya kwenda Nkuu Sinde/Ndoo/Kimbushi/Nkweshoo/Lyamungo/Nkweseko/Muwe nk. kutokea Makoa ambayo haina Lami tangu UHURU???
kweli kabisa...hakuna tajiri wa moshi anaeishi mjini..hata kina mengi wenyewe jioni wanafunga maduka/hoteli wanapitia majani mailisita au kimashuku ...hao kijijini na pick up zaoAcha uwongo wako wewe!
hata barabara ya kwenda keys hapo kwake ni full unga !ndesamburoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Moshi umekaa kama mji wa kishirikina. Watu ni wale wale, maendeleo hakuna, pesa hakuna. Wachagga wakifunga maduka yao hao wanakimbilia migombani na majani ya ngombe
kweli kabisa...hakuna tajiri wa moshi anaeishi mjini..hata kina mengi wenyewe jioni wanafunga maduka/hoteli wanapitia majani mailisita au kimashuku ...hao kijijini na pick up zao
sijui kwann watu wanakuwa wabishi kuelewa, matajiri wote wa Moshi hawalali mjini hata siku moja. mjini kwa wachaga ni porini. na wao wanaita hivyo hivyo porini. wanatoka nyumban vijijini kuja kutafuta hela porini jion wanarudi nyumban. hakuna haja ya kulala mjini kama kyasaka.
kwa mchaga nyumban ni kijijini na mjini ndo porini. wala mtu hana mzuka napo kabisa.Kweli kabisa ndo maana mchaga hashindwi kuishi popote kutokana na wao kupenda kuishi kule walikozaliwa hata kama ni kubaya... Hakuna lami nk..nakumbuka miaka ile tukiwa wadogo tulikuwa tunaenda kulima mjini alafu tunaenda kulala kijijini! Hii ni mpaka leo iko hivyo... WATU WANAISHI MLIMANI WAKIJA SHAMBA NI TOWN!
sasa hivi wengi wamehamia boma.....sijui kwann watu wanakuwa wabishi kuelewa, matajiri wote wa Moshi hawalali mjini hata siku moja. mjini kwa wachaga ni porini. na wao wanaita hivyo hivyo porini. wanatoka nyumban vijijini kuja kutafuta hela porini jion wanarudi nyumban. hakuna haja ya kulala mjini kama kyasaka.
sasa hivi wengi wamehamia boma.....
ni kweli na ukitaka kujua watu wana hela nenda boma...hata mimi nina kasehemu kangu pale sinza b ...mamangu...kama machame kumejaa kabisa hakuna tena mahali pa kujenga sasa naona wengi wanahamia boma na kingatiti. nilikwenda kusalimia nikakuta ndugu kibao wamejenga boma huku hakuna tena vihamba.