CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
Hao wakazi wa Kigoma walikuwa wangapi?
Je?Zitto katuangusha sana sisi vijana!
1.Mahakama Kuu juzi imemuita muongo kwenye kesi ile ya rushwa
2.Leo tena kwa kiapo anakataa kuwa hamna afisa wa serikali aliyeficha hela Uswis
%100 Zitto kadanganya!
JANJAWEED rafiki wa dr slaa mambo vipi???while majority wanajidai chadema ni ya wachagga, wanasahau kwamba wana perpetrate the same notion ya ukabila kwa kukomalia iassue ya zitto kikigoma zaidi badala ya kitanzania zaidi
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaCUF mpo kweli? Jaribuni kudandia hii issue ya zitto huenda mkafufuka maana mpo kimya sana. Lipumba yupo? Ijumaa hii atakuwa msikiti gani?
Zitto katuangusha sana sisi vijana!
1.Mahakama Kuu juzi imemuita muongo kwenye kesi ile ya rushwa
2.Leo tena kwa kiapo anakataa kuwa hamna afisa wa serikali aliyeficha hela Uswis
%100 Zitto kadanganya!
hao sio wananchi wa kigoma bali ni wahuni wachache
Hata km ni wanakigoma ... Kwani anashindwa kugombea urais akiwa mwanachama tu?
Unajua kuna dalili za maoni hafifu kupewa nafasi kubwa ....! ndio coverage km hizi kuwa hao walihojiwa wanaamini ni kwakuwa Zitto anataka kugombea Urais ndio sababu
kifupi ndivyo dola ilivyotaka ili imfute kwa kigezo cha umri na CDM ikose mgombea bahati mbaya Zitto a alikua hilo na a wafanya kazi hiyo kwa ufahamu mzuri tu.