Wakazi wa kigoma wamjia juu Dk Slaa

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
0
Wakiongea baada ya kumalizika mkutano wa hadhara wa mwanga community center wamesema kuwa wao wamejitokeza kuja kusikia mashtaka 11 ya Zitto Zuberi Kabwe badala ya kutusomea mashtaka ameongelea ujenzi wa chama sisi hakikutuleta hicho sisi tumekuja kusikia mashtaka ya kijana wetu, wakienda mbali wakazi hao wa mjini kigoma baada ya kumalizika mkutano wakihojiwa na STAR TV walisema wao wanajuwa sababu iliyomfanya Zitto wamvue nafasi zake zote ndani ya chama kuwa ni kutangaza kwake kugombea Uenyekiti na Urais ndani ya Chadema walisema wakazi hao. Wa mjini kigoma. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Habari ya STAR TV.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Wakazi wa kigoma wanadai kamati kuu ya chadema imesemaje?Ama wanaongelea vitu gani?

Na ni wakazi wangapi wa Kigoma wamehojiwa na Star Tv?Wakazi hao ni viongozi ama ni wanachama wa chadema?
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,013
2,000
while majority wanajidai chadema ni ya wachagga, wanasahau kwamba wana perpetrate the same notion ya ukabila kwa kukomalia iassue ya zitto kikigoma zaidi badala ya kitanzania zaidi
 
Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,067
2,000
Hao wakazi wa Kigoma walikuwa wangapi?

Zitto katuangusha sana sisi vijana!

1.Mahakama Kuu juzi imemuita muongo kwenye kesi ile ya rushwa

2.Leo tena kwa kiapo anakataa kuwa hamna afisa wa serikali aliyeficha hela Uswis

%100 Zitto kadanganya!
 
MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,789
2,000
CUF mpo kweli? Jaribuni kudandia hii issue ya zitto huenda mkafufuka maana mpo kimya sana. Lipumba yupo? Ijumaa hii atakuwa msikiti gani?
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
14,973
2,000
Zitto katuangusha sana sisi vijana!

1.Mahakama Kuu juzi imemuita muongo kwenye kesi ile ya rushwa

2.Leo tena kwa kiapo anakataa kuwa hamna afisa wa serikali aliyeficha hela Uswis

%100 Zitto kadanganya!
Je?
Zitto ni bomu lililo expire?
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,621
2,000
Wangekaa kimya ningewashangaa. Waambieni wakusanye hizo kadi za cdm wamtumiee mbowe tuko njiani kuwaletea kadi za chama cha Mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Zitto katuangusha sana sisi vijana!

1.Mahakama Kuu juzi imemuita muongo kwenye kesi ile ya rushwa

2.Leo tena kwa kiapo anakataa kuwa hamna afisa wa serikali aliyeficha hela Uswis

%100 Zitto kadanganya!

Zitto ni aibu nyingine kwa vijana wa Tanzania.. Anajifanya anawachachamalia mafisadi kumbe anatafuta mgao... A DISGRACE.
 
magohe

JF-Expert Member
May 21, 2011
728
195
Alikuwepo hawakujitokeza,kaondoka mnaanza kuuchongoa.

Acheni uoga ninyi gambaazi..
 
fugiken

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
484
225
hao sio wananchi wa kigoma bali ni wahuni wachache

Hata km ni wanakigoma ... Kwani anashindwa kugombea urais akiwa mwanachama tu?
Unajua kuna dalili za maoni hafifu kupewa nafasi kubwa ....! ndio coverage km hizi kuwa hao walihojiwa wanaamini ni kwakuwa Zitto anataka kugombea Urais ndio sababu

kifupi ndivyo dola ilivyotaka ili imfute kwa kigezo cha umri na CDM ikose mgombea bahati mbaya Zitto a alikua hilo na a wafanya kazi hiyo kwa ufahamu mzuri tu.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
zito hana shida ila wenzake kwenye chama chake anachofanyia kazi ndiyo hakina maana katika jamii.
 
sokolaboro

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
313
225
Hata km ni wanakigoma ... Kwani anashindwa kugombea urais akiwa mwanachama tu?
Unajua kuna dalili za maoni hafifu kupewa nafasi kubwa ....! ndio coverage km hizi kuwa hao walihojiwa wanaamini ni kwakuwa Zitto anataka kugombea Urais ndio sababu

kifupi ndivyo dola ilivyotaka ili imfute kwa kigezo cha umri na CDM ikose mgombea bahati mbaya Zitto a alikua hilo na a wafanya kazi hiyo kwa ufahamu mzuri tu.

SIO KILA MGOMBEA URAIS anakuwa rais
 
CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
0
Zitto anapambana na mkakati wa kaskazini ambao lengo lao ni kuhakikisha Rais anatoka kaskazini, awe mchaga ambapo hawatafanikiwa, bahati nzuri watu wa kigoma wamelijua hilo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom