Wakazi wa kigoma wamjia juu Dk Slaa

Wakiongea baada ya kumalizika mkutano wa hadhara wa mwanga community center wamesema kuwa wao wamejitokeza kuja kusikia mashtaka 11 ya Zitto Zuberi Kabwe badala ya kutusomea mashtaka ameongelea ujenzi wa chama sisi hakikutuleta hicho sisi tumekuja kusikia mashtaka ya kijana wetu, wakienda mbali wakazi hao wa mjini kigoma baada ya kumalizika mkutano wakihojiwa na STAR TV walisema wao wanajuwa sababu iliyomfanya Zitto wamvue nafasi zake zote ndani ya chama kuwa ni kutangaza kwake kugombea Uenyekiti na Urais ndani ya Chadema walisema wakazi hao. Wa mjini kigoma. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Habari ya STAR TV.
Ungeeleweka zaidi kama ungesema ,Wanachama wa CCM wa mkoa wa Kigoma.......
 
Wakiongea baada ya kumalizika mkutano wa hadhara wa mwanga community center wamesema kuwa wao wamejitokeza kuja kusikia mashtaka 11 ya Zitto Zuberi Kabwe badala ya kutusomea mashtaka ameongelea ujenzi wa chama sisi hakikutuleta hicho sisi tumekuja kusikia mashtaka ya kijana wetu, wakienda mbali wakazi hao wa mjini kigoma baada ya kumalizika mkutano wakihojiwa na STAR TV walisema wao wanajuwa sababu iliyomfanya Zitto wamvue nafasi zake zote ndani ya chama kuwa ni kutangaza kwake kugombea Uenyekiti na Urais ndani ya Chadema walisema wakazi hao. Wa mjini kigoma. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Habari ya STAR TV.
Wazee wa V4C iliyoasisiwa msikiti wa mtambani ikafia msikiti wa magomeni
 
Hao wakazi wa Kigoma walikuwa wangapi?
Inawezekana TV ikahoji wakazi wote wa Kigoma? Ila wachache wanaweza kusema kwa niaba ya wakazi wa Kigoma na ndivyo ilivyokuwa katika taarifa ya habari ya Star tv wote walioongea walisema kama aiivyosema mtoa mada.
 
Wakiongea baada ya kumalizika mkutano wa hadhara wa mwanga community center wamesema kuwa wao wamejitokeza kuja kusikia mashtaka 11 ya Zitto Zuberi Kabwe badala ya kutusomea mashtaka ameongelea ujenzi wa chama sisi hakikutuleta hicho sisi tumekuja kusikia mashtaka ya kijana wetu, wakienda mbali wakazi hao wa mjini kigoma baada ya kumalizika mkutano wakihojiwa na STAR TV walisema wao wanajuwa sababu iliyomfanya Zitto wamvue nafasi zake zote ndani ya chama kuwa ni kutangaza kwake kugombea Uenyekiti na Urais ndani ya Chadema walisema wakazi hao. Wa mjini kigoma. Kwa Mujibu wa Taarifa ya Habari ya STAR TV.

Wanakumbuka kudaka penati wakati kitu kilishatinga nyavuni.
 
Inawezekana TV ikahoji wakazi wote wa Kigoma? Ila wachache wanaweza kusema kwa niaba ya wakazi wa Kigoma na ndivyo ilivyokuwa katika taarifa ya habari ya Star tv wote walioongea walisema kama aiivyosema mtoa mada.

Mbona ziara ya Dr Slaa ilikuwa ni kwa ajili ya ujenzi wa chama na ndicho alichokifanya.Ni nani aliye waambia kuwa Dr Slaa ana kwenda kusoma mashika 11 ya Zitto?.
 
Eti watu wa Kigoma,hao akina KALAMTANA? nimewaangalia Star tv mpaka nikapatwa na kichefuchefu,waulize wameshaichangia CDM nini tofauti na kura zao za Udini na usaliti kuuza tawi kwa Makamba?.Najuta kuzaliwa Kigoma
 
Fukuza hii kitu mbaya, Sasa tuko katika kujenga misingi, na kujiandaa kwa uchaguzi wa kikatiba.
 
Back
Top Bottom