PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 13,294
- 42,808
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.