Mkuu wewe ni mgeni na story za wabeba box?Sijaelewa mimi au mwandishi na Wakazi. Trump kaja mara moja tu wakati wa ufunguzi wa hotel. Harafu tena anapenda kusoma mgzeti, anampelekea kila asubuhi chumbani kwake. Naomba mniwekesawa wenzangu.
Story zao changanya kichwa..Mkuu wewe ni mgeni na story za wabeba box?
Watu wengi hamjamuelewa huyu kijana. Nafikiri amemaanisha kwenye hiyo Hotel (Trump Tower) huyo Bilionea Trump alionekana siku moja tu siku ya ufunguzi....lakini mara kwa mara hao matajiri wamiliki wa hizo Hotels huwa wana Presidential Suites katika Hotels zao na pia huwa wanatumia Private Entry/Exit na Private Elevator. Kwa hiyo sio rahisi kuonekana mara kwa mara. Anaweza akawepo hapo Hotelini na hakuna hata mfanyakazi atakayejua isipokuwa watu wake wa karibu.hebu nieleweshe vizur, kuna mahali pananichanganya kwny haka kastori! upelekaji wa magazeti na kufika hotelini mara moja tu! sijaelewa
Si haba, huyu kijana ni mfano wa kuigwa!
Wivu wako umekufanya uone ni issue... Jamaa kazungumzia tajriba yake, akiwa 'mfungua mlango' wewe unaleta mbofumbofu zenye wivu ndani yake.
"Yeye mwenyewe aliwahi kuja siku ile tu inafunguliwa....."
"Nilikuwa nampelekea magazeti kila siku....."
Confused....
Trumph yupi au lile sanamu