comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,447
- 11,504
Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana.
Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI
sasa hapa najiuliza hawa ni wakatoliki wa sampuli gani.
Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI
sasa hapa najiuliza hawa ni wakatoliki wa sampuli gani.