Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Unachanganya ibada na matangazo ya biashara, Rudi ukaangalie Tena hivo vipindi kwa jicho la tatu,Waumini wakitoroka msiwalaumu. Kanisa katoliki ni kongwe kweli ila ifike sehemu mabadiliko
KITUO CHA PILI
Yesu anapokea msalaba
- Ee Yesu tunakuabudu, tunakushukuru.
- Kwa kuwa umewakomboa watu kwa msalaba wako mtakatifu.
Yesu anakubali kupokea msalaba kwa ajili ya wokovu wa watu. Ndivyo anavyonifundisha moyo wa sadaka, moyo wa kujitolea na kujisahau kwa ajili ya wengine.
Ee Yesu wangu mkarimu, mimi pia ninao msalaba wangu: jirani zangu, mwenzangu wa ndoa, watoto, wazazi wangu, kazi zangu, joto, baridi, njaa, kiu, vishawishi, magonjwa na matatizo mengine ya maisha, wajibu wangu kwa Mungu, kwa umma na kwa Kanisa.
Unipe ukarimu wako ee Yesu niyapokee bila kunung'unika, na kuyabeba vyema.
Baba yetu - Salamu Maria - Atukuzwe Baba.
K. Ee Bwana utuhurumie W. Utuhurumie
Roho za waamini wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. Amina.
Bahati mbaya dini zote zinafanya biasharaDini siyo biashara kwamba inahitaji matangazo
Umesema ukweli.Ukweli ni kwamba nipo home naperuzi stesheni za TV. Ukija clouds unakutana na chomoza, ukurudi chanel ten yupo Mwamposa. TVE yupo kuhani Musa. Wasafi yupo tena Mwamposa. Naperuzi zaidi nakutana na Upendo TV ya walutheri. Sasa Jumapili natoka kanisani kazi yangu ni kutazama maudhui ya madhehebu mengine tu? TV tumaini mmeshindwa kuingia DStv? Hata hivyo content mnazo?
Ukirudi kwenye redio ni yaleyale. Usiku redio zote zimeshikwa na hawa walokole. Namaanisha almost zote, tena hadi alfajiri. Ukija redio Tumaini na redio Maria ni sala %80. Hivi, ni nani anakaa au yuko nyumbani aache kufanya pilika za nyumani atulie kufuatilia sala redioni? Hata hao wanaoongoza sala redioni wametulia sehemu. Badilikeni
Waumini wakitoroka msiwalaumu. Kanisa katoliki ni kongwe kweli ila ifike sehemu mabadiliko, hasa kwenye uinjilishaji yawepo. Watu/waumini wanataka content.
Kanisa halijakosa waumini wenye karama za kuhubiri. Kwa nini wasipewe nafasi kwenye media? Kanisa halijakosa waumini wenye uwezo bunifu kwenye vipindi/maudhui. Mnatengeneza mazingira gani kuwawezesha hawa.
Niishie hapa kwa leo.
Mnajifariji na kujimwambafy lakini ukweli ni kwamba hamna contentUkristu upo kwenye msalaba. Wokovu wetu upo kwenye msalaba... Siyo miujiza na matangazo.
Siyo maneno yangu mkuu.Mnajifariji na kujimwambafy lakini ukweli ni kwamba hamna content
Wasipobadilika dunia itawabadilishaMedia za RC hazivutii kabisa kusikiliza wala kutazama. Wanazidiwa had na Joshua makondeko
ππHamna watakachoongea zaidi ya baraka kwa mashoga
πWasipobadilika dunia itawabadilisha