Wakatoliki leo wamuombee Rais Nicolás Maduro

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki

Trump

Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
 
na mie muniombee nimekulia CCM ila kwa sasa ni TEAM Maandamano bila kiomo
 
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki

Trump

Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
Trump kwa sasa anasali na Melania Katoliki.
 
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki

Trump

Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
Dini haihusiki na makosa ya mtu
 
Yani hawa kina Padre Kitime ndo wamuombee? Kitime mwenyewe anaishi kama panya anaogopa kwenda mbinguni wakati anajiita mtu wa mungu
 
Mada ya kiwendawazimu hii!! Bila shaka itakuwa imeletwa na mwenye uwendawazimu!

Kanisa Matoliki, hata siku moja haliombei uovu wali mwovu. Linaweza kumwomba Mungu ageuze mioyo ya waovu ili wamrudie YEYE aliye Mungu wa haki, lakini siyo kumwombea mwovu. Kwani unadhani Maduro alikuwa anafanya uovuwa kutesa, kuteka na kuua watu kwa sababu ya ukatoliki wake, au kwa sababu ya uovu wake? Kwani unadhani kujiita mkatoliki ndiyo kunaua uovu wako? HiyuMafuro muuaji, mtekaji na mtetezi wa uovu ana utofauti gani na akina Ludovick mwenye masuala ya kiimani? Akina Ludovivk wanatofautiana naye kwa sababu tu hawajapata nafasi ya kiyapoka madaraka, waliyapata watakuwa sawa naye au mtawala mwingine yeyote, kama huyu wa kwetu au Shekha wa Bangladesh.
Maduro anapokea malipo yake sawasawa na uovu wake. Mungu aamuapo kukuadhibu siyo lazima atume malaika toka mbinguni bali huweza kuwatumia wanadamu wenzako, na ndivyo alivyofanya tangu kale. Kwa mfano, Wayahudi walipokengeuka, aliwaletea mataifa adui yakawatandika na kuwachukua na kuwapeleka utumwani. Mungu si kiziwi wala bubu, hakuna sala isiyosikiwa na Mungu ila anatenda kwa kadiri ya hekima yake. Maombi ya Wavenezuela yamesikika, na Mungu ametenda, Maduro amekamatwa bila ya kusababisha maafa kwa wananchi aliokuwa akiwaonea. Ni vema Maduro akamalizia maisha yake jela, akitubu na kujutia uovu wake.

Nasi tuendelee kumwomba Mungu kwaajili ya hawa watekaji, wauaji na wadhulumaji wa haki zetu, nyakati zilizo sahihi, lazia watalilia uovu wao.
 
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki

Trump

Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
Naona umevimbiwa kitimoto
 
Jipange kumuombea Ayatollah maana Trump hamalizi urais wake kabla utawala wa mullah wa Iran haujaangushwa
 
Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki

Trump

Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
Ujinga na udini umebaki Africa tu... Nchi zingine maamuzi ya Nchi hayahusiani na wewe au dini unayotoka, hasa Nchi za Ulaya na Marekani haziangalii wewe ni dini gani, Dini ni jambo binafsi, Maslahi ya taifa ni jambo pana.

Wewe unaanza kuleta Dini kwenye vita za kiuchumi, nani kakwambia Marekani ina shida na dini ya Maduro
 
Kwahiyo makobazi leo mnamkana ndugu yenu Maduro! Sishangai hata ayatollah mtamkana
 
Back
Top Bottom