Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,347
- 62,353
Catholic has never had a preacher, they are all scammers.There is no such Priest in Catholic church
Catholic has never had a preacher, they are all scammers.There is no such Priest in Catholic church
Akili yako ina ukakasi(chawa yeyote)..Katika dini ya katoliki mtu haogopi kwenda mbinguni ila anagopa kupelekwa mbinguni.Binadamu lazima apiganie kuishi atekeleze wajibu wa kiMungu mpaka Mungu atakapomchukua mwenyewe.Wamwaga damu wa Tanzania(Samiya na genge la wahuni) wanakatisha uhai wa wanadamu sio kupeleka watu mbinguni.Yani hawa kina Padre Kitime ndo wamuombee? Kitime mwenyewe anaishi kama panya anaogopa kwenda mbinguni wakati anajiita mtu wa mungu
Wewe jamaa ni mjinga na mdini sana. Hauangalii haki bali ni dini tu. Usijidanganye kuwa muislamu ndio tiketi ya peponi. NONSENSEAsili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki
Trump
Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
They think differentlyMada ya kiwendawazimu hii!! Bila shaka itakuwa imeletwa na mwenye uwendawazimu!
Kanisa Matoliki, hata siku moja haliombei uovu wali mwovu. Linaweza kumwomba Mungu ageuze mioyo ya waovu ili wamrudie YEYE aliye Mungu wa haki, lakini siyo kumwombea mwovu. Kwani unadhani Maduro alikuwa anafanya uovuwa kutesa, kuteka na kuua watu kwa sababu ya ukatoliki wake, au kwa sababu ya uovu wake? Kwani unadhani kujiita mkatoliki ndiyo kunaua uovu wako? HiyuMafuro muuaji, mtekaji na mtetezi wa uovu ana utofauti gani na akina Ludovick mwenye masuala ya kiimani? Akina Ludovivk wanatofautiana naye kwa sababu tu hawajapata nafasi ya kiyapoka madaraka, waliyapata watakuwa sawa naye au mtawala mwingine yeyote, kama huyu wa kwetu au Shekha wa Bangladesh.
Maduro anapokea malipo yake sawasawa na uovu wake. Mungu aamuapo kukuadhibu siyo lazima atume malaika toka mbinguni bali huweza kuwatumia wanadamu wenzako, na ndivyo alivyofanya tangu kale. Kwa mfano, Wayahudi walipokengeuka, aliwaletea mataifa adui yakawatandika na kuwachukua na kuwapeleka utumwani. Mungu si kiziwi wala bubu, hakuna sala isiyosikiwa na Mungu ila anatenda kwa kadiri ya hekima yake. Maombi ya Wavenezuela yamesikika, na Mungu ametenda, Maduro amekamatwa bila ya kusababisha maafa kwa wananchi aliokuwa akiwaonea. Ni vema Maduro akamalizia maisha yake jela, akitubu na kujutia uovu wake.
Nasi tuendelee kumwomba Mungu kwaajili ya hawa watekaji, wauaji na wadhulumaji wa haki zetu, nyakati zilizo sahihi, lazia watalilia uovu wao.
They scam aldults, and what about that guy who scummed an 8 years adolescent? He was 50.Catholic has never had a preacher, they are all scammers.
No honor among thievesAsili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki
Trump
Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
Hakuna ukatoloki kwenye kuua raiaAsili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki
Trump
Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.