IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,751
- 7,124
- Thread starter
- #21
Naona mnajimilikisha na nchi kabisa. Raisi ajaye akiwa mkristo mkatoliki hatumpi kuraSasa katolik misa moja wageni 50 .....tuwe tunakazi ta kutambulisha wageni ......tena mgeni mwenye mlokole hatuna muda mchafu na kina boni mwaitege .....huo utaratibu ni kilokole ....huku hakuna ....
Tunajali muda ...sali utoe sadaka usitoe utajijua hatuna dhiki ....tuna miradi mingi mashule mahospital ..na mabenk.......
Bila kusahau serikali nayo yetu(hapa nasubiria povu)
Inshort sisi ndo kila kitu katika nchi hii yaani first grade religion afu ndo wanafuata wengine waluther wa anglican afu kwa mbaliiiiiiiiiiiii waislam hao shida elimu hawana
