Wamepndeza kweli kweli.
Hivi hawa marais wetu wa sasa wana picha kama hizi/ I mean wao na wake zao?
Kumbe Salma Kikwete ame-copy kwa maria Nyerere kuvaa 'mtandio' begani miaka ya 60, duuu halafu anajifanya kabuni yeye bongo
dah! Nyerere mtata! Kachagua dude la ukweli enzi hizo. Kitu Mary!!! Cha ukweli!!!!Wamependeza.... Mdada kwa mbali utafikiri Rihana....
kwa sasa wana picha za mademu zao tu, mke hadi siku ya sherehe.Wamepndeza kweli kweli.Hivi hawa marais wetu wa sasa wana picha kama hizi/ I mean wao na wake zao?
umeona ee!Kumbe Salma Kikwete ame-copy kwa maria Nyerere kuvaa 'mtandio' begani miaka ya 60, duuu halafu anajifanya kabuni yeye bongo
hata kabla salma kikwete hajawa first lady wanawake wengi sana si mama nyerere tu walikuwa wanaweka vitenge au khanga begani. Sidhani kama yeye (salma kikwete) anajifanya ame invent yeye style hiyo hapa bongo! Hapo kasingiziwa!Kumbe Salma Kikwete ame-copy kwa maria Nyerere kuvaa 'mtandio' begani miaka ya 60, duuu halafu anajifanya kabuni yeye bongo
Hapa waliishaona au bado?Maana naona mkuu ana pete kama ya ndg zangu na mama ndio kabisa hana kitu,dooh Mh.JKN kumbe alikuwa amejua kitu cha maana.
wanafanana sana, mapendo yakikolea kweli mnafanana