Wakati wee uki-suffer eti vyuma Vimebana....

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Kuna mimtu huku ina enjoy uwepo wa pumzi daily somewhere maninah mzungu .
....
umbavu kabisa aliyedesign hiii kitu...
 

Attachments

  • 27973007_1989614231255938_4514607349633394234_n.jpg
    131.6 KB · Views: 99
Huyu Mtoto Je?

Hahahahaaa nimeona tag ya Rand 22 na 29 kule nyuma, wa South Africa ni shida asilimia 80 wote wako hivo. Mwanzoni mwanzoni nilipofika nilikuwa nikienda restaurant au supermarket lazima atokee mtu aniongeleshe kilugha chao sass mie nikawa nabaki excuse me.... like I don't get you... or come again. .. sijui kwanini walikuwa wanafikiri na mie ni mwenzio wakati hata sifananii nao heheheh.

Siku hizi nshazoea. ....

Sawubona. .....

Unjani. ....

Dumela. ....

Aweeh. ...
 
Duh hatar sana...mzungu nyoqro mno
Nipo nawaza hivi viti vimeshikiliwa na nini hapa?
 
Lakini IPO siku watarudi na watachanganyika na mavumbi.
nao wanafahamu kama hiyo ziku itafika,ww ambaye huishi kama wao siku ya kucganganyikana na mavumbi haitafika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…