Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia.

Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani”

Pengine mateso hayo mnayoyapata ni ishara nzuri kwamba muamke na kusema basi yatosha.
 
Siyo vizuri kuichanganya timu yangu ya Yanga na hivyo vitu vya hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom