Addis Ababas
JF-Expert Member
- Aug 5, 2018
- 351
- 353
Vituo vya afya vya kihistoria vinajengwa nchi nzima, mabarabara, elimu bila malipo, Steigler's umeme, usalama nchini upo, democracy imeimarika na wapinzani hawana mbadala bali ni kuunga mkono, ufisadi unapigwa vita kwa vitendo, watu wanachapa kazi na chakula kipo cha kutosha, Dodoma inachanua...
JPM Wakati ni sasa wa kuliambia Taifa kupitia Bunge kuwa, "Tanzania inachanua."
Matusi ruksa, usipate shida kujizuia!
JPM Wakati ni sasa wa kuliambia Taifa kupitia Bunge kuwa, "Tanzania inachanua."
Matusi ruksa, usipate shida kujizuia!