Wakati wa mwisho ndo umewadia?

Wakati wa mwisho ndo umewadia?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Leo kuna video nimeiona wanasema imechukuliwa Israeli wiki hii, mawingu mfano wa pete ilikua inatembea angani na kuna sauti kama za tarumbeta zinasikika..

Duuuh!

Sasa nasikia tukio kama hili lilitokea hapa kwetu ila ilikua usiku na kuna watu waliliona nalo lilikua mfano wa duara ila katikati kulikua na nyota tatu, lakini kama kawaida yetu watanzania tunashangaa tu sidhanni kama kuna ambae alirekodi tukio lile japo ilikua usiku na watu waliona baadhi.

Jamani mnajua Israel na historia yake sina haja ya kuongea sana kwa wale wakristo wataelewa vizuri.

Tujiandae. Binafsi nimeogofya! Hio video nimeiangalia mara moja tu. Japo ninayo katika simu nimetumiwa leo.
 
Hapa JF hakuna ubabaishaji weka picha
 
"The uploaded file was not an image as expected"
Ndivo nikijaribu kua upload naambiwa hivo
 
Acha imani potofu
Na kuogopa mambo ya kusikia.

Nabii Issa anasema kila jicho litamuona siku ya kiama,
Sasa kama wewe hukumuona wasi wasi wako nn.

Hizo ni imani potofu
Hakuna anayejua siku ya mwisho
Hata nabii issa / yesu hajui
Allah ndiye anayepanga.
 
Acha imani potofu
Na kuogopa mambo ya kusikia.

Nabii Issa anasema kila jicho litamuona siku ya kiama,
Sasa kama wewe hukumuona wasi wasi wako nn.

Hizo ni imani potofu
Hakuna anayejua siku ya mwisho
Hata nabii issa / yesu hajui
Allah ndiye anayepanga.
Sawa.
 
Back
Top Bottom