Deus F Mallya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 705
- 442
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
sema usiogope sema , sema usiogope sema, .... namuonea huruma MBOWE, MNYIKA na SLAA muda si mrefu damu ya CHACHA WANGWE itawalilia na MTAFUNGWA JELA
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa ndugu ma makundi mbali mbali. Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile wasemacho!. Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka. Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.
Sema sasa....muda ni huu Mkuu @deus f mallya
Siasa ni nzuri sana hasa zikiwa upande wako...Inaonekana dogo sasa anataku kutengeneza headline kama za Mahimbo wakati ule wa uchaguzi...
Kila la heri na siasa zenu!! Tunachotaka sisi ni kuona ni kwa kiasi gani gesi na madini zimeweza kuwaletea maendeleo Watanzania.., ni jinsi serikali imeweza kuwazuia wakwepa kodi na kuweza kuongeza makusanyo ya mapato...etc
Ulikuwa na nafasi ya kueleza kila kitu mbele ya mahakamani iweje hakufanya hivyo??
Nani ataamini utakachokisema sasa?
Ulikuwa na nafasi ya kueleza kila kitu mbele ya mahakamani iweje hakufanya hivyo??
Nani ataamini utakachokisema sasa?