donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #61
Hahaha ha dah mkuu umeniacha hoiWe jamaa. Nakukubali sana huwa hizi picha ukirusha nazisevu hafu nazitumia kwa kazi maalamu asante sana Mkuu nawadaka wadada wengi kwa kuwakaribisha vyakula by SMS ubarikiwe Mkuu mungu azidi kukupa nguvu za kupiga picha zaidi !!![emoji124] [emoji124] [emoji41]
Mimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Mmmmh asije kuwa ni mimi maana hata mimi ni wakaskaziniKwa hii picha nimekufananisha na mmoja wa wachumba zangu wa kaskazini.
Mmmmh asije kuwa ni mimi maana hata mimi ni wakaskazini
Mmmh ila sidhani,There is 101% reasons you are the one.... that mixture of food speaks alot....
Mmmh ila sidhani,
Sawa mkuu..mimi napenda kula tu haswa wanyama na ndegeOfcourse si wewe.... mmeshabihiana tuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87]We jamaa. Nakukubali sana huwa hizi picha ukirusha nazisevu hafu nazitumia kwa kazi maalamu asante sana Mkuu nawadaka wadada wengi kwa kuwakaribisha vyakula by SMS ubarikiwe Mkuu mungu azidi kukupa nguvu za kupiga picha zaidi !!![emoji124] [emoji124] [emoji41]