Wakati wa maakuli..

Hata mimi sinia nimelitilia mashaka lakini usafi wa bidhaa nzima unanifanya niaminik kwamba ni home made. Mafuta yaliyotumika ni masafi mno ndio maana hata ndizi na nyama ziko na huo muonekano, ni aghalab kukuta hiyo hali kwenye biashara.
Hahaha
Inategemea na sehemu yenyewe!! Zipo sehemu wanatengeneza kwa usafi pia!!
 
Hahaha
Inategemea na sehemu yenyewe!! Zipo sehemu wanatengeneza kwa usafi pia!!

Nakubaliana kabisa na wewe, msisitizo wangu upo zaidi kwenye usafi wa mafuta. Kwenye biashara yataatumika kwa nyama nyingi. Nyumbani ukishaivisha kiasi mnachotumia zoezi linaishia hapo. Mafuta yanakua bado masafi
 
Sawa bwana shemeji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…